@mnallaelectronics.1: #FYP#TBC#TANZANIA#BREAKING#NEWS

𝑀𝑁𝐴𝐿𝐿𝐴 𝐸𝐿𝐸𝐶𝑇𝑅𝐼𝐶
𝑀𝑁𝐴𝐿𝐿𝐴 𝐸𝐿𝐸𝐶𝑇𝑅𝐼𝐶
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 18 August 2026 13:30:42 GMT
4497
243
33
19

Music

Download

Comments

mwanaharakatimadi
mwanaharakatimadi :
sasa kwa mfano haya majenge makubwa kama kariakoo au viwanda kuungu inamaana mafundi walio watumia hawajasajiriwa na ewura?
2026-08-31 10:05:41
0
user5548134774129
VJ Code 8 :
mtupe utaratibu jaman na ss tunaojitafta kwenye fan hii
2026-08-18 18:19:36
0
emmanueljeremiah17
emmanueljeremiah87 :
ndo ujinga wa serikali
2026-08-20 17:06:47
0
aloycemwilwa747
aloyce*** :
tatizo ni jina2 sio lesen au nin mbna kuna wat wamesoma vete2 na wako vizur
2026-08-28 18:51:09
0
user6618878194414
king Datos :
mnataka tulale njaa ety
2026-08-19 17:09:57
0
arafaomary1415
@arafa :
sometimes mambo hayaendi hvo, endelea kufukuzia waliosajiliwa, Kuna watu hawjasajiliwa ila wanaujuzi kuliko hai wakwako!
2026-08-20 12:06:23
0
_real_son_
fundi_umeme_wa_nyumba :
hapo suala kubwa ni busness partner au project partner fundi usiposhare hata uwe na lesen bdo utakuwa down tu mbaya zaid ambao wanalesen ni sisi mafund ambao tunajitafuta ila wenye majina tok zaman sidhan kam wanafuatilia lesen
2026-08-19 08:10:32
0
suditindwa
Sudi Tindwa :
kwann mnasema waende veta alafu saizi mnasema mbaka asajiliwe Ewura kwaiyo veta aina umuhimu
2026-08-20 07:16:52
0
kang.joing7
kang joing :
Yani Kuna watu wakisha amaka wanwaza kutu Uzi wengine Sasa mm ivyo vitu vyote nifate na niwakati ni garama kubwa sana au mnatupatia nakazi acheni mambo yakuwafanya watu waonekan kama hawana taalum na wakati ukienda pale tanesco Yuko wengi sana tumejifunza tu na kujua kufanya kazi basi tena kazi safi sana alfu ukijisajil hapo jengi likajabkuleta changamoto hiyo leseni inasaidia kulekebisha au inakuwaje hapo na
2026-08-19 01:14:46
0
user5548134774129
VJ Code 8 :
shukuran nilikuwa sijapata kulijua kwa kina na kurifatilia Mkuu🙏🙏
2026-08-18 18:49:13
0
ally.mnyema.biash
Ally Mnyema Biashara :
hao waliosoma sisi tunawakataa hawajui kitu hao
2026-08-27 04:32:39
1
asaelectricalservices0
asaelectricalservices0 :
mchina yuko mbali sana kielemu ndio maana yeye anaangalia unajua kazi angali cheti ila bongo pen mbele practical and work experience asilmia 30
2026-08-19 13:08:12
1
michael.tz356
@Prime D :
mtasema sana lakin hatuachi kwasababu hao wemyr vyeti wengi wao ndo hawajui ety
2026-08-28 22:21:52
0
mgagaelectrical
MGAGA ELECTRICAL :
upuuzi tu
2026-08-20 18:12:46
0
big_thinker1
BiN__SaDiQuE :
hao wafundi sasa ukikuta kazi Zao🤣🤣🤣🤣🤣🙌 au basi
2026-08-20 08:53:18
0
mwinyingwisa
mwinyingwisa :
akuna fundi wa mtaani ww mnataka kuwaaalibia watu kaz tu
2026-08-20 06:09:40
1
dman07138
Dman :
ufundi ni ujuzi au skills sio vyeti mkitaka wachukueni hao mafundi wenu peleka site muone watakavotoka jasho la mikono. huku kitaa wapo mainjinia kibao wanashika site na wanawauzia mafundi wakitaa tena wenye ujuzi wa kurithi
2026-08-19 09:21:41
0
dman07138
Dman :
mnataka kuaminisha uma kuwa mafundi waliosajiliwa ndo wanaojua kazi wakt wapo webye hizo lesseni mtaani kazi zao mbovu kuliko hata ambaye hana lessen cz ili upate lessen wanaangalia vyeti tu bila kujali uwezo wako wa practical hamuoni hii nayo ni kuzalisha mafundi uchwara wengi
2026-08-19 09:21:45
0
kang.joing7
kang joing :
na mafundi wengi wanaozinguaga kwenye wayring ni nyie tanesco kujikuta Kila kitu nyie mnajua kwenu humo mna watu kibao hawana hata vyeti kabala ya kusema hivyo anzeni na ndani kwenu kwanza
2026-08-19 01:16:32
0
williams.ezekiel7
wille :
usumbufu tu
2026-08-22 11:02:12
0
To see more videos from user @mnallaelectronics.1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About