Sikuizi tumechanuka ukiomba pesa tu unakula BLOCK 😂
2026-08-19 05:27:36
28
Joy🥀🌺 :
🤣🤣Watu mnahasira na wdada waarabun
2026-08-19 04:31:59
17
husna beib :
mm sina hata wa fb na sitaki😂
2026-08-19 09:33:38
1
Lish :
Sasa hasira ni ya nini
2026-08-19 06:21:20
5
Kibib Salim :
Mm siwezi muacha mume wangu ame nisaidia sna ....Niko huku miaka sita 😳 passport ilisha yy aka nitolea mpya na yuko Kenya...Na yy ndio ame pambana mpka Nime katiwa tikiti naja nyumbani... Asante sana mume wangu 🥰🥰
2026-08-19 07:04:29
6
Delis :
Pesa gani na situmi chochote😁🤣🤣
2026-08-19 08:55:37
2
Rebecca :
Eti hakuna kesi police wala kwa chief urongo pengine niwe sina ushahidii ndio siwez fanya chochote siku hizi mambo yalibadilika si kama kitambo kaka
2026-08-18 20:16:04
0
Gloria :
poleni .
2026-08-19 06:22:04
0
#monje 234 :
punguza hasira broo hatupeane tena pesa
2026-09-04 12:25:25
0
hida :
aya shikirishwa kabisa 😁
2026-08-19 07:43:10
0
Nyamvula mae 😍 :
utakula utaipata wapi🤣🤣
2026-08-19 06:44:14
0
🦋Lissah-B🦋 :
wee kwa vssf nlienda pekeangu na hutanifanya chochote kwanza sina bwana😂😂na hata kwa D.o hakuna kesi ka hio anagalia huezi jua 😂😂
2026-08-20 15:41:24
0
Princess Saumu :
leta number 🤣
2026-08-19 12:40:28
0
Muna Oman+254💸and Bareta 💍♥️ :
wangu nashukuru twafanya maendeleo na mume wangu hamdhulillah
2026-08-19 14:40:38
0
2ma Beby🥰 :
Wallah kwanza nilipokua Shule nairob yy alikua kila kitu wallah ...nkweli mm uyo wangu nae simuache kabisaaa
2026-08-19 08:26:42
1
🌹 chuna myemen🌹🇰🇪 :
oyaaah usitusumbue bana😁😁
2026-08-21 17:17:30
1
hadiya :
hilo twalijua sana ila sio wote wajinga bro 🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-08-19 11:22:29
1
mary :
siku hizi hatupatii wanaume pesa,SI ndo ma pro wakucheza,hampati chochote😏😏😏😏
2026-08-19 05:56:46
0
madenoRAC1 :
tufanyeni kazi dhulma hailipi
2026-08-19 06:35:16
1
beby love45 :
kumekucha kusini marikiti
2026-08-19 05:27:14
2
Dina🦋🦋 :
ati hakuna Kwa chef Wala police labda niwe sina evedenc. 😏😂
2026-08-19 09:05:23
3
Amnah :
mm Wangu nilipo panda ndege nae akaoa Kabsaa 😭😭
2026-08-19 08:32:13
0
Selfia :
Kumekucha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-18 21:58:05
0
bonalitofranck :
Feelings tuekeni kando kila mtu akule pesa anayoifanyia kazi.
2026-08-19 07:45:47
0
Daniel Baya :
Elewa neno twawadangana
2026-08-19 03:49:43
1
To see more videos from user @danielbaya25, please go to the Tikwm
homepage.