@06msoma: AU HILO TAIRI APO NYUMA NDIO LINAWAELEMEAGA😂😂🫵@kunguru 🦅🛻 @Abduliqadr@ 1HZ @70serieskimaro1hz @Hassan 1Hz 🛣️ @Ambrose✨🇹🇿 @Adam sabugo ( B boy ) @Kambare @EBM2819 @REMMY HEHE PROUDLY 🦅 @adamtz @Labilepogba10🇹🇿 @BABA PAROKO ☠️🇹🇿

msoma
msoma
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 18 August 2026 13:46:26 GMT
11070
839
144
34

Music

Download

Comments

immanuelmsoma652
Immanuel Msoma :
umetisha broo😁😁
2026-08-18 14:15:17
1
churchboy85
E 3🦅🦅🦅 :
mbona Kama likiingia rough road ndo linaongeza mwendo Kuna nn hapo
2026-08-18 15:10:08
10
side1hz8
Side1Hz🇹🇿🛣️ :
Ila tuache masikhara 1hz kwenye vumbi inanoga
2026-08-18 16:06:02
5
wataifa1
group O+ :
mambo niyapendayo
2026-08-18 17:41:04
1
jordanjackson61
chief mwakasinga :
inaonekana inakimbia kwenyevumbi kwasababu hakuna Kani mvutano baina ya gravo na taili na hii upelekea msuguano kuwa mdogo😀😀 ila kwenye lami kunaiyo hali ya tail na lami kuwa kama zina vutan hivyo hupelekea msuguano kuwa mkubwa tofauti na kwenye gravo🤣🤣 pia lami ikiwa na maji msuguwana unakuwa mdogo
2026-08-18 20:04:18
1
kulanga2
kulanga :
nilichogundua likiingia kwenye vumbi ndio kama lipo kwenye lami na likiingia kwenye lami ni kama liko kwenye vumbi 😁😁😁
2026-08-18 19:38:00
1
ambrose_mtz
Ambrose✨🇹🇿 :
Apo tayali kishatia 5 Haelewi aweke nini tena 😂 🙌 Harafu Umeme unapita shwaaaaaaaah 😂😂🔥🔥
2026-08-18 17:42:56
5
ernestanord
hilux 2.8 gd6 :
😅nahisi
2026-08-18 16:24:11
2
geraldmbinga6
geraldmbinga :
Kwa heshimaaa 🔥
2026-08-18 15:06:35
2
suba.brown
Suba Brown :
Itakuwa aisee😂😂
2026-08-18 18:26:06
1
being_zouh
Her zouh🌸 :
😂😂dah
2026-08-18 17:44:16
1
goodluckgam1
Kambare :
Anakuoshea balaaa leo😁😁😁
2026-08-18 13:48:50
2
fredykapoma0
fredy kapoma :
muulize inaupepo asante baba
2026-08-18 16:47:06
1
nimrodykikoti
nimkiko :
Hii kama unaelekea Kilwa hii
2026-08-18 20:30:43
0
manmkongo881
manmkongo881 :
ana mambo VP rafkiangu hizo garii nazikubaliy kinyama Yani naomba ata mtafutie ajira kwenye hiyo ofisi zenye hiyo gari niwe dereva mimi nipo buza mway
2026-08-18 18:31:32
0
70serieskimaro1hz
70serieskimaro1hz :
Muda wa kulaa jeuri yako🤣🤣🤣🤣gaaademitiii🙌
2026-08-18 19:09:00
0
visboe2
visboe :
Chombo kwa hewaa 1hz inamaelekezo 🔥
2026-08-18 18:03:41
0
shabanpongweshaba
Sheby love :
Hizi gari ipo siku zitaingia kwenye mikono yangu!
2026-08-18 18:33:20
0
mngoni_toleo_jipya
cornel_conaldo🔹️ :
leo mmekaa kwnye utawala wenu sasa 😁
2026-08-18 16:15:51
1
tonieetoniee
Toniee Toniee :
Ogopa sana ukiona hyo chuma imelala kidogo kwa nyuma🤣 oya weeeh Moto utakaomwagika hapo ni balaaa
2026-08-18 19:36:42
0
pamoja09
Samson(SB)🇹🇿 :
Kivumbi na jasho🔥
2026-08-18 14:16:16
2
nyangafadhl
NYANGA 🇹🇿 :
waambie waweke namba ya simu kwenye tairi
2026-08-18 18:43:57
0
mabumo1
gody 1hz :
mwendo wa ngiri mkia juuuu🔥
2026-08-18 15:18:39
2
To see more videos from user @06msoma, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About