@neystore_vyombo: Ila mwanamke kuwa mwizi haipendezi ,haya kama una ndugu yako kaenda kariakoo mpigie simu #fyppppppppppppppppppppppp #viralvideo #tiktoktanzania🇹🇿 #goviral #dinnerset
tungekuwa wanaume ndo tukio iba sijui Ata ingekuwaje maana tungepigika sio poa ila wanaume tunapitia mengi
2026-08-19 12:02:40
4
sung'wa :
Hayo madela bei ya jumla sh ngapi. msomali.
2026-08-19 11:25:32
1
💦Feisa tz🌹🌹 :
jaman ndy nimelipia cm apa kuna nn kinaendelea apa🤔
2026-08-19 12:07:50
2
Reen Official 💕 :
Daaaah Jmn wapeni wazazi ela Jmn
2026-08-18 16:30:28
5
abdy lino :
Sooo mbaya n wez sw ila msisahau ao n wazee wetu watoto wakike ao ikitokea kama ivoo msiwazalilishe kwa kuwarikod na lengine nafkir vituo vya polic n kwa ajili ya uhalifu na vime ekwa kwa niaba ya raia ila m nilikua napita tu😊😊😊
2026-08-19 08:13:24
6
Sarah Assimu :
asante ma mdogo kwa kunidhalilisha🤣
2026-08-19 09:51:47
0
HabbyMomba :
aibu jmn mbn mmetuzalilisha
2026-08-19 18:01:28
0
eddi.e3901 :
uyo anaye wapiga imagine angekuwa ndo mama ake Ana zalilishwa ivi
2026-08-19 06:14:59
0
Ruya :
jaman msamehen
2026-08-18 16:24:48
0
Ferry ommy :
kariakoo mm ata mkoba ikinasa kwa nyuz ya nguo moyo unastuka
2026-08-19 06:39:26
3
dee du master :
si mama mkwe wangu uyu jamani
2026-08-19 11:48:30
1
Hilda Asenga :
wanatunyoosha hawa watu maan wanaiba so poa
2026-08-19 06:34:12
0
Minah :
Hiyo set bei gani yote?
2026-08-18 17:22:31
0
hesha :
Kwel wana makosa ila najikuta tu nakosa raha wanavyo pigwa jmn🥺🥺🥺
2026-08-18 16:49:06
3
To see more videos from user @neystore_vyombo, please go to the Tikwm
homepage.