@isackpate: Pesa inaweza kununua vitu, lakini haiwezi kununua mapenzi ya kweli. Jichunge usichanganye msaada na upendo. Unaelewa? Andika “Nimeelewa” kwenye comments. Fuata @IsackPate kwa more deep thoughts kila siku #Umasikini #MapenziYaKweli #IsackPate #MindsetShift #DeepThoughts