@passerby728: TUSHIKAMANE NA SUNNAH TUEPUKE NA ADHABU ZA ALLAH (SW)

14k
14k
Open In TikTok:
Region: KE
Tuesday 18 August 2026 14:12:48 GMT
10741
720
36
119

Music

Download

Comments

abdouljabar456
abdouljabar456 :
sijaon shekh africa anayo gusa moyo wang kama shekh abdu rogo
2026-08-18 20:39:11
11
romanempire1485
Muhammad :
halafu utasikia watu bado kusema eti si ukweli
2026-08-18 23:54:28
2
fauzali24
M.JELLY🥰 :
Maneno hayo...ameyatumia kama Majazi yani mtumi ndo sababu yetu sisi kufutiwa madhambi hapo Sheikh barzanji ametumia maneno hayo kutawasul kwa jina l
2026-08-19 09:44:50
2
abuswaleh15
Abuswaleh15 :
kaangalieni suratinnisai Aya ya 64 ndio mutaelewa maana ya fa aghithi WA ajirnii
2026-08-19 05:20:36
1
alibabaa030
user33916319465628 :
Twafata wali hatufuati maulid
2026-08-19 13:10:18
3
user5035481078722
user5035481078722 :
abudi rogo simmtume Wala nabii pia yeye aweza kukosa
2026-08-19 10:57:10
1
mswahili.abza
mswahili abza :
sheikh uko sahihi
2026-08-19 09:41:39
2
said.mahmoud01
Bin Mahmoud :
2026-08-18 21:15:01
0
user2067937237574
Mansoor :
bahari nzito huwezi pita wewe
2026-08-19 14:50:42
0
shafirumohamed
shafiru m,kashato :
shida siokuseam shid ni kusoma
2026-08-19 08:16:26
0
zanzibarianoo1
abdallahali8963 :
mashaallah
2026-08-19 07:41:01
1
abuswaleh15
Abuswaleh15 :
tuwache kuwahukumu watu ila tumuachie yeye mwenyewe mwenyezimngu
2026-08-19 05:18:16
0
abuswaleh15
Abuswaleh15 :
hakuna aliemfanya mtume kua nimungu
2026-08-19 05:21:14
0
haile_.maryam
haile_.maryam :
Kama Allah mwenyewe kammwita RAUFU RRAHHYM, hilo lililosemwa n barzannji ni kubwa kuliko hilo
2026-08-19 05:00:47
0
bariz.bariz21
Habib bariz :
Maashallah hii ndio ilee mada alioileta shekh Muhammad Bachu 😂😂😂😂😂
2026-08-18 20:49:33
2
user5035481078722
user5035481078722 :
hata nuhu alisema innabinili min ahli lakini akaambibwa inahu laisa minali itakuwa abutwali hakuna shirki katika maulidi kwani nitumie wote kazi Yao nigani ni kubashiria watu pepo na moto na mtume ndio ataombeya watu watoke motoni Tena wenye madhambi makubwa kama mnapinga pingenitu maulidi yanasonga mbele mitumie kazi Yao siilikuwa kukinga watu wasiingie motoni ama kaziyao nigani kwani sikuyakuama atakae omba shifa ni nani musidanganywe maulidi haifai wanawivu hao
2026-08-19 10:54:35
0
lobuleboi1
mujahudin :
🥰🥰🥰
2026-08-19 05:05:48
1
josephmasai8
josephmasai :
🥺🥺🥺
2026-08-18 22:23:40
0
user7990446077750
##shift :
😁😁😁
2026-08-19 19:10:39
0
To see more videos from user @passerby728, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About