nina mtoto wa ndugu yangu anamiaka 15 meno yake wameanza kutikisika nimpe dawa gani?
2026-08-19 07:10:28
0
gerana Luckness :
hiii dawa ni ya ukweli imenisaidia nina jino limetoboka lilikuwa linauma saaaaana mpk nikataka kuling'oa ,baada yakuitumia jino liko salama haliuma na likuma tu hata kwa mbaali naweka hiyo dawa
2026-08-19 10:01:08
0
Bwam muu :
mie nimetafutana miziz ya mtunguja mtulala tu nimepoa faster mbn
2026-08-21 14:43:31
0
To see more videos from user @gutshealth02, please go to the Tikwm
homepage.