@free.your.soul_: Wakati mwingine tunahangaika kutafuta amani, hekima na majibu kila mahali, kumbe tunachosubiri ni kujifunza kumwamini Mungu. ๐๐ฝโค๏ธ Mengine yakishindikana, usikate tamaaโMungu bado anaona njia ambayo wewe huioni. โจ Mwamini Mungu, endelea kusubiri, na usikate tamaa. ๐ค #FreeYourSoul #Mungu #Imani #Maisha #fyppppppppppppppppppppppp