@missp613: #creatersearchingsight

🕷️
🕷️
Open In TikTok:
Region: KE
Tuesday 18 August 2026 14:26:00 GMT
7013
368
65
12

Music

Download

Comments

belamaithya
belamaithya :
the song for me
2026-08-19 08:44:56
0
elizabethwaither23
Elizabeth Waitherero :
waah pole🫂
2026-08-19 06:29:52
0
hadija21sw3
💕💕SWAAHAD💕💕 :
u turn right then go straight 🤣🤣🤣🤣
2026-08-19 04:14:59
3
minmyles22
🦋Bree🦋 :
mimi nilikuwa hivyo nikiwa jedid nilisema sorry mpaka nikaambiwa sorry ni mingi 😂
2026-08-19 09:11:16
1
user66033452346931
Ayooo :
Aiii wakate bt wakurudishe ofisi juu nko sure hikua intensional mm nlivunja siniha mbili nkaambiwa ntakatwa mshahara nkaenda room kupack nkaambia madam kata yenye inatosha hizo sinihanyenye inabaki nipee Sahi tw nakol agency nirudi ofisi🤣🤣🤣🤣nkakua kisirani serious dhen that was the only month nlilipwa 1100 riyals na normally hukua 900
2026-08-19 08:32:24
1
amisa_kenya
Amisa Kenya🇰🇪 :
😂😂😂😂😂😂😂ikiingia tu hivi redsea utafika mbinguni kabla uingie kenya , safe journey baby gal
2026-08-18 17:06:11
5
viviangakii3
🎀Vivian 🎀gakii🇰🇪🇸🇦🇴🇲 :
hapo tu mbele kidogo 😅😅😂 ndio nilikuwa natafuta mwenye tunavuka na yy😅😅🥹🥹
2026-08-19 00:09:14
1
seashine17
🥵Nothing 💋but 💔truth 👣🗣💦 :
na mm mwenye fridge nimearibu mbili so far 😂
2026-08-19 08:40:48
0
nyar_ugenya75
Awuor💞🇰🇪🇰🇪 :
😥😥😥🤭
2026-08-19 08:30:16
0
zurii.x1
Zurii.x :
weuh NAMI nilipasua Sina kubwa weuh 🤣🤣🤣 ni Mungu alisema is okay 😂
2026-08-19 08:49:50
0
jkuria28
itz Kuria 💜⚡ :
kwama apo tyu Egypt
2026-08-18 19:58:35
0
mummajesty
Lucy🇸🇦🇰🇪 :
nini kinaendelea hapa juu Mimi hii ikinihappenia mwendo nimeumaliza, I am working in an extremely rich family, Kitu moja Ni salarly ya miaka nne🤣🤣
2026-08-18 17:58:52
0
virginiawanjiru236
virginiawanjiru236 :
Aki pole sana aki😢😢
2026-08-19 08:14:01
0
ms.dee200
Dee 💟🇰🇪 🇸🇦 :
weeh
2026-08-18 17:43:28
0
apondi48
warrior's 🦅 :
woiiii pole aki
2026-08-19 07:40:30
0
winniekerubo7
miss Katrina 💞❤️‍🔥🤍 :
uuuuiiiiii
2026-08-18 18:37:16
0
delly0828
💘 ⒹᵉlĻY đⓔ𝐞💫💫 🎁💛 :
Aki mi glass zinakapitia hadi naurumia madam wangu🤣🤣 lakini si kupenda kwangu jamani 🤦‍♀️
2026-08-19 09:56:29
0
diffinah
diffinah💕💕💕 :
Vaa TU Crocs urauke ndani na speed ya mia utajipata kenya
2026-08-18 22:02:05
1
naomi.tall
Naomi Tall :
pole wooi
2026-08-19 08:07:54
0
kisiifinest716
Miss tavi🦋 :
nipasua shishapot na first day let me tell you guys I cried 😂😂
2026-08-19 08:56:42
0
dazzlingdiva934
CHAOSCUTIE🥹🫰🫶 :
me hii ikinipata watanikuta nmejimaliza before waniangamize wenyewe 🤣 na vile ata kasa moja ikipasuka huwa wanakaa nikama nimeuwa mtu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-19 08:40:01
1
user5418881668355
Doreen okware :
gai!salo yote si itaenda ivo mamaa
2026-08-18 16:33:03
1
To see more videos from user @missp613, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About