@fadhilomarydai69: LEO TAREHE 18 /8/2026 MINALI FAIDHIN INAYOENDA MGWASHI IMEPATA AJALI MAENEO YA VUGA ROAD

FADHIL Omary Dai
FADHIL Omary Dai
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 18 August 2026 14:28:11 GMT
5047
420
101
39

Music

Download

Comments

issahamad468
Issa Hamad :
Poleni san
2026-08-18 16:36:22
0
fadhila.jumaa3
💫Queen love🫶 :
duh kaka lin hiyooo
2026-08-18 14:32:49
4
selemani1966
selemani :
😭😭
2026-08-18 15:05:03
2
ahmadithabiti202
Ahmadi Thabiti :
iNnalillah waina lillah laajirna mung awalaz mahala mema pepon
2026-08-18 14:57:01
2
user2347886801524
user2347886801524 :
allah awahifadhi ndugu zetu amini amini kathiiraa
2026-08-18 14:57:30
2
asha89791
asha :
dah dah dah
2026-08-18 17:47:49
0
bint.bilali1
Bint Bilali :
😭😭😭😭😭😭 jamni kakaangu mimi ohooo jamni nimeumia sana toka mchan naona watu wakiposti sikufatilia kumbe nigali yakwetu jamni kakaangu mimi 😭😭😭😭 ewe mwenyezimgu wapunguzie ndugu zetu adhabu yajahanam daaaa
2026-08-18 17:15:20
0
galldee1
Mwanah✨🦋 :
Allah awape kauli thabit😭😭😭🙌
2026-08-18 17:53:44
0
cute_mwana21
Cute_mwana :
Innalillah wainnailaih rajiun Allah awalaze mahali pema peponi inshaallah 🙏🥹
2026-08-18 17:04:27
0
fajirisalimu
Fajiri Salimu :
inallilah wain allilah rajun poleni sana ndugu zetu pumuzikeni kwa aman tutawakumbuka sana
2026-08-18 17:00:28
0
fatuma.d.shefaya
😍fatmaa❤️ :
innalillah wainnailah rajiun 🙏
2026-08-18 17:01:35
0
taitaboymtaita
Taita boytz :
polen kaka leo iyo asubui
2026-08-18 14:35:18
0
ommyshekilindy
Ommy double killer :
inalilah wainalilah
2026-08-18 17:00:37
0
fadhihath.shemgaa
fadhihath shemgaa :
lin hii kaka ya mud au
2026-08-18 14:35:54
0
user6214563032203
Arawi sheikh :
Daah 💔
2026-08-18 17:18:14
0
ummuhashr1
Mrs H ❤💫 :
Duuh mtt wa ant ang nae kafa kweny hii ajal 😭😭😭😭
2026-08-18 16:56:58
0
ramadhaniabeid1506737589
Mr BUDA :
🥺🥺🥺 Serikali mko WAPI jmn
2026-08-18 17:06:27
0
asha89791
asha :
IV kwann lakin miaka yote Bala Bala mbovu af tuna viongoz ila hamna shida kila kitu kinamwisho nisawa wap wameshika mpini Sisi tumeshika makali ila wakumbuke hii ni duniatu imeniuma Sana wallah😭😭😭😭
2026-08-18 17:51:10
0
userhmnyaby
mnyaby🥦safi🫣🙌 :
poleni sana ndugu zetu
2026-08-18 17:46:40
0
user90692616079493
samiraa :
poleni sana ndugu zangu
2026-08-18 17:00:14
0
abdul.fundy
abdul fundy :
inauma kwakweli jamani tumludieni mungu kifo kipokalibu mdawowote tunaondoka ndugu zangu😭😭😭
2026-08-18 16:50:15
0
user23942158244607
charles mchina :
duu kaka poleni sana kaka imegusa kila mtu
2026-08-18 16:39:59
0
mtemo22
dullah22 :
😭inalimlahi waina ilaihi lajiluni ala awape kazuli sabiti katika makazi Yao yakabul
2026-08-18 16:31:42
0
jumaj40
@jumaj40 :
kwakwei daah inallilah wainailahii lajiuni
2026-08-18 16:22:34
0
user6842374356291
Magembe jr :
poleni ndugu zangu hakika kifo ni ahadi sote tutakwenda tujiandae mda na saa yoyote
2026-08-18 16:55:53
0
To see more videos from user @fadhilomarydai69, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About