mchuzi wa maji oyeee tupo huku tumeolewa na wazanzibar
2026-08-18 19:43:08
15
zuuhcute 😇 🥰😜 :
ningewaomba tiktok waweke voice not...maana huyu sio wa kumuandikia
2026-08-18 20:56:47
5
Bin hassan Shaafi 71 :
kaka me nipo zanzibar hapa ila huo ukike kak ipo cku utatembea ndgu
2026-08-18 18:21:18
11
AMINA :
asante allah akulipe kheri nyingi mwaya
2026-08-18 16:28:48
16
samia Iddy :
na kufirwa je
2026-08-18 20:57:28
5
mkunazin :
broo acha hayo mambo ya ubaguzi ni mambo ya kike hayo acha broo hata Allah hapendi maisha hayo binaadamu wote sawa please brother, sio sawa hayo maneno
2026-08-18 21:33:38
2
chalakombo :
🥰🥰🥰kwl
2026-08-18 14:47:29
6
robati pta :
sawa dd
2026-08-18 19:37:21
2
swafa Abdallah :
mmh bora useme😂😂😂
2026-08-18 14:38:30
10
yuthar :
haswaa kipenz umenikosha hawatuwez tn sio kwenye mapish tu ht kwenye tabia na mahaba uwambie babaa👌😁😁👏🥰
2026-08-18 22:12:39
0
erickmtafya77 :
mi ntakuoa wew
2026-08-18 19:36:02
0
fatwimah🥰 :
asnte kaka angu ,tumekuskia
2026-08-18 16:02:14
4
user6124266777197 :
😅😅😅
uhakika
2026-08-18 15:21:47
3
dzo_j_anord :
free jux
2026-08-18 19:34:19
1
Tundayoungsamir 10 :
mie mbongo nimeolewa namuunguja nnamwaka watisa kwenye ndoa yangu na nnawatoto watatu
2026-08-18 21:18:18
4
To see more videos from user @chidybrand2, please go to the Tikwm
homepage.