@killer_tzd: #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokkenya🇰🇪 #swahilimotivation1

Killer_tzd
Killer_tzd
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 18 August 2026 14:43:38 GMT
108228
4331
92
27

Music

Download

Comments

dezacostaricacourtois
Deza airsave sumaili :
rip my dad and mom😢😢
2026-08-20 13:17:09
29
kedmon1392629815371
ayubkedmon :
kama huja elewa tujuane maana wana niacha hoi mm
2026-08-19 15:12:43
124
diana.thobias8
Dee❤️ outfits :
Nimejikuta nalia tu I miss you so much my Mumy and lest in peace
2026-08-27 13:20:10
2
paul.thomas060
Paul youth Adventist :
Niwambieni wanangu wazazi wako wakiwa hai shukuru mungu kuna watu hawajawahi kuwaona wazazi wao hamna ki2 kinauma kama kumuona mzazi wako anashushwa kaburini tuwapendeni wazazi watu na tuwaombee wazazi wetu waishi miaka mingi alie weka hii post kuna ki2 kimenigusa na kinauma
2026-08-20 15:15:59
66
user83334516980093
faith :
haaaaah jaman mim mama aliniuliza nikamjibu kisha akaniomba nimwache apumzike baada ya muda nikamkuta kashapumzika kwel
2026-08-20 11:52:43
25
johndaprincefoa
johnte 💎 :
kama ni kwenda ataenda tu mi nitamwambia
2026-08-27 13:37:53
4
mchagaofficial..1
Mchaga Org 🇹🇿 :
hii nyimbo inaitwaje
2026-08-21 07:59:51
5
user8266179667704
joel 336 :
😭😭😭😭kaka alinambia kanileteee maji ya kunywa narudi kasha fariki bhc tu duniani wote tunapita shida ni kutangulia
2026-08-27 07:53:04
11
paulcharles918
paulcharles :
pengne mm mama angu alniulza chrismass n ln nkamwambia bado sku 10 mbele ilkuwa mwez wa 12 nltoka nje nmuache apmzke nlkuta ameshafark taar
2026-08-19 13:38:18
20
zablon.wambura
Zablon Wambura :
😭😭 My young brother Rest in peace
2026-08-25 13:44:06
3
silukala1
silukala :
nipo natafuta mke wangu kumbe yupo huku
2026-08-23 20:20:50
4
obedimwashambwa
The splash :
ambao hatujaelewa tusipate shida sio kila anaeuliza muda hua anakufa
2026-08-25 00:19:45
8
jacklinajackson49
Jacklina Jackson :
je doctor kama si maumivu makali ni kama mascles zimebana ila siyo makali ila kuna siku ulipata sharp pain kama dakika tano hivi je hyo ipoje
2026-08-28 16:07:49
1
user9240107376825
Daniel kisinza :
ni kwel kaka
2026-08-21 16:12:05
2
issakabalina1a3
bbm tz :
ndo itakuwa anakuaga wamwisho au me ndosielewi
2026-08-26 14:09:14
1
christopherinnoce12
Christopher Innocent :
kamekua sasa
2026-08-22 20:45:47
2
chamulindi.mashau
Chamulindi Mashaul :
Jan nmedondosha buku najua haiwahusu jamn🙏🙏
2026-08-22 13:36:19
2
user9253609105160
[email protected] :
kwanini jamani ndio anakuaga ifoo inaumaa jamani mungu waponyeshe walioko mahospitalini mungu wanguu
2026-08-26 17:58:42
2
pretty.marry554
Mary💖💞💋 :
hata usipomwambia mda wake wa kuenda ukifika anaenda tu
2026-08-27 13:13:55
8
user4421884511814
user4421884511814 :
rip my mom
2026-08-22 18:41:00
1
user9240107376825
Daniel kisinza :
sijakusoma kaka
2026-08-19 18:58:40
1
user5652971871675
cotyledo. :
mmh!. mbona cjaelew
2026-08-20 20:07:20
2
barikijohn
bariki John :
dah mm kakangi aloniunza we na
2026-08-27 12:52:26
0
user2790787061781
rachel⚘️ :
Miss u my dady
2026-08-27 16:48:42
0
mathiaslucas760
sultan :
kwann
2026-08-18 19:25:18
0
To see more videos from user @killer_tzd, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About