hata buku mimi lazima nipigie kama watu 10 na wote hawana🤣
2026-08-18 17:52:03
43
mc_tamaduni_tz :
sisi wengine hata shida ya 10,000 utapigia namba zote ulizonazo kwenye simu lakin hutoboi
2026-08-18 16:04:15
81
ramaboytz2🤛🏼 :
Lkn siutawarudishia
2026-08-18 16:53:40
17
Nasma♥️💸$ :
watu wana watu
2026-08-18 16:32:48
10
🫣fêstõ🫶 :
ukitoa wazazi mama na baba. kwa upande wangu Sina watu wakunisaidia mimi🤣
2026-08-18 16:31:23
22
MAN CIVICON 17 :
sasa ushasema shda tyr atakosaje kukusaidia🤣🤣🤣
2026-08-18 15:38:08
11
official kadiba :
Kwenye sm yako hakikisha hukosi namba ya rafiki yako kibonge hua wana huruma sana hawa😂
2026-08-18 17:36:14
10
@mullannice :
naomben namb ya muddy 🤣🤣🤣
2026-08-18 17:37:55
5
aloyce3 :
uko vzr ss tna namba 100 lakn ukpata shda ya 1000 hupat mtu 😂😂😂😂
2026-08-18 16:25:27
9
Shakti bobo :
hiki kpnd mbona kzur sana kiendelezwe vzue
2026-08-18 17:02:16
8
lyn10Des :
Bill mstaarabu
2026-08-18 16:22:36
10
👑KING MSYELE :
Kweli unawatu mzee
2026-08-18 16:04:12
12
KAUTHAR JUMA :
daah kila mtu anabalaka zake sio kama ss 10000 tu mtihan kupewa ila hongela sna
2026-08-18 16:21:30
11
SIXG :
hii cycle haijagi tu from no where... lazima uianzishe wewe kama ni pesa lazima uanze kuwa wewe mtoaji... kama ni ushauri lazima uanze wewe kuwa mshahuri kwenye mambo mengine, n.k.....
2026-08-18 17:32:43
7
Mc sceo :
Nenga Mtu sana 🔥🔥
2026-08-18 18:13:13
3
faah :
heshima kwa nenga
2026-08-18 18:09:24
2
julio :
imagine mtu ananunua kiwanja Kwa hela ya kupigia to mabestie 💔
2026-08-18 17:51:13
2
RARSEN🍻😮💨😜 :
kweny maisha tafuta watu weny channel atakama maskin
2026-08-18 17:56:51
2
Herìi :
si umeshaitolea maelezo sasa,
2026-08-18 18:03:56
2
jacy :
anawapgia sim watu ambao tayar anawasaidia achaneni na nn
2026-08-18 19:36:27
1
STEVEN MADOLLAR :
nenga nimependa majib yke dah uyu jamaa Tisha sana MUNGU akubarki katk majibu nimejifunza kit