@paza_sauti_media: Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa angalizo kuwepo kwa El Nino yenye nguvu kuanzia Septemba hadi Desemba 2026, hali inayoweza kusababisha vipindi vya mvua kubwa kuanza mapema katika baadhi ya maeneo nchini. Akizungumza na waandishi wa habari Agosti 18, 2026, Mkurugenzi Mkuu wa TMA, Ladislaus Chang’a, amesema athari za hali hiyo zinaweza kuendelea hadi mwanzoni mwa mwaka 2027. akiziomba Mamlaka za Bandari, reli, usafiri wa anga na Sekta ya Afya, kujiandaa mapema kukabiliana na athari zinazoweza kusababishwa na mvua hizo. Aidha, mvua za juu ya wastani zinatarajiwa katika Kanda ya Ziwa Victoria, ikiwemo Kagera, Geita, Mwanza, Shinyanga, Simiyu na Mara, pamoja na Kakonko na Kibondo mkoani Kigoma, Pwani ya Kaskazini, ikiwemo Dar es Salaam, Tanga, Pwani, kaskazini mwa Morogoro pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba. TMA imeonya kuwa mvua hizo zinaweza kusababisha mafuriko katika maeneo ya mabondeni, uharibifu wa miundombinu na kuongezeka kwa magonjwa yanayotokana na maji yaliyotuama, huku wananchi wakitakiwa kuchukua tahadhari na kufuatilia taarifa rasmi za hali ya hewa.
Paza Sauti
Region: TZ
Tuesday 18 August 2026 14:59:53 GMT
Music
Download
Comments
~.🦄🍀R.I.£🔮.N.O.L.D.£.$🤎 :
sisi uku daslaam kila siku jua halitoki sijui mmelifanyaje
2026-08-18 18:34:17
34
Raiyyan_fahmy :
wakumi
2026-08-19 01:59:58
0
Amani@ :
Good information
2026-08-18 17:11:48
2
user763108083088 :
taja kwa kiswahili wengine hawaelewi February ni mwenyezi gani
2026-08-18 17:20:57
18
Ney🦋 :
Dodoma tushazoea mvua yetu inaanza Disemba mwishoooooni🤣🤣🤣
2026-08-19 04:36:56
7
Tina :
Oktoba na septemba za mwezi gani dia
2026-08-18 20:02:13
5
SUNDAYI :
hamuwezi kuizuia hyo elinino mpaka mwezi wa kwanza nina mbaazi shambani
2026-08-18 20:19:39
6
Ma mkali😍 :
Bora Dodoma haipo ningefanyaje mimi na mume wangu anaenda coz
2026-08-19 06:38:13
1
isaaczephania :
huku zishaanza Hadi kero na bado daa!
2026-08-18 20:14:27
2
savinny :
awa watu sio wa kuwaamin jmn
2026-08-18 18:53:09
1
أمو فيصل♥️ :
asaiv mungu hatabiliw kaz zake.. yan anaamua mvua inyesh mda gan na wap.. yan saiv n vicevesa..🤣🤣 ukisem mwez10 itakujq mwakan.. ila uyu mung uyuuuu.. enewey tupunguze maaswii
2026-08-18 17:23:27
7
oliver🦄 :
mbona watu wa kusini atujajisikia e. mtutaje bhna mvua nazenyewe zisije zikatusahau kam nyie mlivyotusahau
2026-08-19 05:58:00
1
hustler :
mm muuza juic ntauz kweli
2026-08-18 18:55:04
0
lightness dall :
😂 khaaa nashindwa kuelewa
2026-08-19 10:32:51
1
Lazaro laizer :
Habar jema sana kwetu wafungaji
2026-08-18 17:06:45
2
saidoo shafiq :
mbona mikoa ya kusini mbeya ilinga luvuma songwe lukwa mpanda huwa hamtowi utabili wa mvua tunaomba na sisi tufahamu ni watanzania
2026-08-18 18:05:31
3
chambega majumbe@17 :
apanilipo gunia la mahindi 24000
2026-08-18 17:55:40
0
WÏZZÖ🫧 :
Sisi uku nyamongo mvua ishaanza mheshimiwa
2026-08-18 18:10:29
0
veranMkude :
Moshi imeshaanza baba angu na mahindi yangu hayaja kauka
2026-08-19 03:47:43
1
Frenk :
HUku imeanza Leo JIONI
2026-08-18 17:54:18
1
Stev Rnb :
sawa ole wenu mtupange me naandaa shamba wazee
2026-08-18 19:14:37
1
Silvia Tarimo :
ni ngumu sana kuwaamini hawa 😂
2026-08-18 18:34:13
1
nicholaus phaustine :
uoniuong
2026-08-19 11:32:44
0
To see more videos from user @paza_sauti_media, please go to the Tikwm
homepage.