@mjombawachu0: Daaah Hii nawaachia Walimwengu Nitasoma Comment😀😀😀😀😀🙌🙌🙌🙌🙌🙌#walimwengu #funny #tiktoktanzania🇹🇿 @Baba P 🫴🌹 @Chami talent

𝙈𝙟𝙤𝙢𝙗𝙖 𝙒𝙖𝙘𝙝𝙪𝙤🎓
𝙈𝙟𝙤𝙢𝙗𝙖 𝙒𝙖𝙘𝙝𝙪𝙤🎓
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 18 August 2026 15:19:22 GMT
216120
16383
1570
464

Music

Download

Comments

mpwex33
Raymond 🍃 :
Anachekesha kama sio dada yako😂😅😂
2026-08-19 09:35:15
200
hudhaifidh_2528
@'hafidh Graphics 🎨🖌️ :
niongee Kwa kukaa au Kwa kusimama 😂
2026-08-18 16:47:40
164
tamimuashajy
Asha Tamimu :
nimesikiya NIDA apo jamn🤣🤣🤣🤣
2026-08-18 17:31:36
144
valeria_john142
Miss_vee🎀🦋🦋🌹 :
Labda nje ya nyumba yao
2026-08-18 15:30:14
97
asiamaroh
🧚‍♀️💞miss bee🖤💯 :
wakwanza naomba like
2026-08-18 15:22:14
87
richofor
rich ofori :
hii nchi inhitaji ku formatiwa😂
2026-08-20 10:57:41
49
mwitasonmjukuu
mjukuumwitason official :
huku mtaan kwetu Kuna Justin baba wai nafas ni chache
2026-08-18 15:22:20
44
vinah588
modo s..🦋 :
naombeni password ya Tanzania niondoke
2026-08-18 15:53:09
33
maigedaniel
.🤙WINGA 🤟🤟 :
.mungu matatizo haya yameanzia octoba 29 jaman
2026-08-19 08:45:14
30
venance5143
venance :
kumbe kuolewa ni ndoto
2026-08-18 16:47:39
23
giftexzavery
Official G💫❤️ :
sijuh nacheka kwann 😂😂😂 jmn naomb3ni mnifollow bas plz
2026-08-18 19:19:30
21
allyhaydaly
mr,,alone 😔 🙁 :
kweli nimeamini tangu October 29 ipite watu awako sawa kabisaaa😂😂😂
2026-08-18 19:46:18
17
spencerommy
ommy spencer :
jamani huyo dada yangu ametorok milembe wiki hii sasa tunamtafuta
2026-08-18 16:06:42
15
user6839207527356
Veronica Mabuba :
kwa hiyo sura dada angu hata kaka angu wa kisukuma sikupi😂🤣
2026-08-21 06:28:53
11
chugakimario
chuga Kimario classic :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣unajua nacheka kwanini
2026-08-19 12:42:59
8
user1199957916706
Kashato daughter :
Usikute Tanzania ni chanell ya vichekesho na hamjui 😂😂😂
2026-08-19 16:15:29
8
lovery233
Lovely 😘 :
Kumbe wenye NDA tunaweza enda nje ya nchi na hamsemi 🤣🤣🤣🤣🤣🙌
2026-08-18 19:24:57
8
giftadam188
giftenboy :
we ukazan vigezo ya kuwapata hao ni sawa na kupata smu ya mkopo😂😂 etty nina NIDA
2026-08-20 09:06:14
7
user5194145738746
Beatrice hans :
da atali kwa kweli ww sula at mm mnzuli jaman acheni bas tumechok
2026-08-18 19:20:43
7
lazalomhesa
lazalomhesa :
unajua nacheka kwann hinimaajab🤣🤣🤣
2026-08-18 16:26:30
5
user23360745627737
Mamen Mullah👊🏽✨️ :
shida ilianza siku alipo pata nida😆😅🤣
2026-08-18 19:32:45
5
shonde261
Shonde 26 :
10,10
2026-08-18 15:42:44
5
faima6315
faima🩺🧢 :
nip narud tz maaan nilibonyez sehem nikaondoka🤣
2026-08-18 15:26:38
5
abrahmassawe862
Abrah Massawe :
wenye nida hoyeeh
2026-08-19 04:57:00
5
young.mantyotyo.m
Young mantyotyo Mantyotyo :
sijaelewa nje ya nyumba au wap
2026-08-18 19:27:32
4
To see more videos from user @mjombawachu0, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About