Mungu nisamehe mimi nisha mfanyia ivi kijana wa watu 😥🙏🙏
2026-08-20 04:34:47
20
PRINCE OSBORN🫡 :
😭😭😭😭 true pain
2026-08-20 07:50:35
0
💣🔥Mtoto Sulle🔥🔥🔥🔥🔥 :
kazaaaaaa brooooo???? 👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿
2026-08-20 05:20:13
0
Am cristian :
Ila wanawake mwenzangu tuache haya mambo
2026-08-20 04:22:29
13
Dimba_furniture :
daaah inauma san
2026-08-20 06:12:18
0
baby chiku :
jamn mbn wanakuw ivy 😭😭😭
2026-08-18 22:47:24
0
kh@dij@ mo :
mi ndio man stak mazozea na mzaz mwenzang ten ata namb yak sn aliy lea mtoto ndio bab
2026-08-19 12:32:25
38
hiphop uchwara :
MWANAUME HAKIKISHA UNAMUOA MWANAMKE BIKRA
2026-08-19 21:42:57
4
Coco🥥🌟 :
ndio maana saiv single mom tunaonekana viumbe vya ajabu watu hawana huruma tena na sisi😭
2026-08-19 18:28:19
13
FOXI ONE :
unaona iyo video usiombe yakukute live baba nimoto
2026-08-19 19:41:18
8
Yasser :
😂😂 Single mom wengi ni malaya
2026-08-19 11:15:42
10
💔MCHINA💞㊗🈯 :
so kwel jaman mnatuonea so wote tupo ivyo
2026-08-19 03:44:00
10
G mkubwa :
wadada hapana asee nilimkuta mku anamtoto wa miez 3 jamaa kakataa mimba nimempambania kwakila kitu mahitaji nguo vyakula alivyo fikisha miaka mitatu mwanamke kaanza kuwa nakila mwanaume hanisikii tena ila daar MUNGU ampe maisha mazuri 😭😭
2026-08-19 15:52:02
12
🌸TOTO DIMPOZY🌺🎀🦋 :
nipe mimi
2026-08-18 22:05:23
1
Qwn🌹 :
imenioma yamenikuta😭😭
2026-08-18 17:24:17
2
T F tito :
nakubari mani unajua mwanangu
2026-08-18 16:20:02
7
modiddy41 :
Kuna mwingine nae sijamzalisha mim ila anataka nimuoe na mwanae sas ana mwaka na miez 7 sas je nifanyaje.? 👉 na ninampenda kweli.? ☺️