Brother na father @FAKAL. mashaallah nimepanda content zenu
2026-08-18 20:59:07
2
Faby_mamy._ :
what's amazing leson
2026-08-18 16:02:43
0
Bin_Ally :
Top level..🔥🙌🏻
2026-08-19 08:41:12
0
loilat :
Allah atupe khatma ilio njema🤲 mwisho wa kila kit ni kifo tu kwenye makaazi yetu ya milele dunia ni mapito tu kamwe tusijisahau🥹😭
Allah awasamehe waliotangulia mbele za haki n sis atupe mwisho mwema🥹🤲
2026-08-18 15:50:31
33
Bahati Shida :
perfect 👌
2026-08-18 16:17:25
1
DATY THE GOLDEN LADY👸 :
mashaallah hii nmeipenda sna n nfunzo zuri kabisaa mashaallah
2026-08-19 14:20:48
1
wise :
🙂
2026-08-18 16:09:36
3
Mr. example :
siwez pita post yenu huwa ina ujumbe mzuli sana
2026-08-18 18:36:52
14
RAIN WAR :
good job
2026-08-18 17:05:13
0
ilfshaddy :
daaahhh mzee kaongea kwa uchungu sana🥹🥹, Allah atujalie mwisho mwema mwisho wa majivuno ni tumboni mwa ardhi🥹🥹. ILA anapiga mbata balaa😃
2026-08-18 15:56:59
9
Yassin-shoes tz :
Insha allah. ukumbusho kwa wenye kuzingatia
2026-08-19 07:48:33
2
Ibraah :
Hakika ni ukumbusho mzuri
2026-08-18 16:37:58
8
T@rneem :
funzo zuri sana Mungu atupe mwisho mwema na awasameh waliutangulia🤲
2026-08-18 15:53:54
4
cute yuu :
Ya Allah tupelo mwisho mwema 🤲🤲
2026-08-18 18:57:46
4
Sparky matary :
MashaAllah mafunzo mazuri
2026-08-19 10:02:24
1
MPEMBA HALISII 43 Kwa heshma :
mashallah tabarakallah nimeipenda mungu atupe mwisho mwem
2026-08-18 19:01:59
5
SHA SHA MAN 👨 SHALULILE COD13 :
tour to askar 😁
2026-08-18 17:04:11
3
dully :
ukumbusho utawafaa kwa wale ambao wanaoamini 🤲🤲
2026-08-18 16:26:32
3
Bin jaylan 💯 :
Mko juu akhii , Masha Allah 🥰🫡
2026-08-18 16:31:50
1
mkongwewajiji :
hiii ni mawaidha tosha Asante ujumbe umefika
2026-08-19 09:21:59
0
riishad_rasheed202officially# :
Dah
2026-08-19 11:51:12
0
Mamy Faysah .🦋 :
Hakika
2026-08-19 11:36:53
0
👑MULUH HAMDY💞 :
2026-08-19 14:53:23
0
KIM :
dah kaburi linalooneshwewa mfano ni la x wangu 😳😣😣
2026-08-19 10:16:43
0
nawwar sultwaan :
😭😭😭😭😭ewe mwenye enzi mungu tukinge na shari za kabri
2026-08-19 10:54:29
0
To see more videos from user @iam_fakal, please go to the Tikwm
homepage.