@uhondo.tv: Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa mwelekeo wa mvua za msimu wa Vuli 2026, ikieleza kuwa msimu huo unatarajiwa kuathiriwa kwa kiwango kikubwa na hali ya El Niño yenye nguvu.

Uhondo TV
Uhondo TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 18 August 2026 15:39:54 GMT
47820
644
20
204

Music

Download

Comments

muemmanue
Surveyor Lovely 715 508 090 :
Mikoa ya katikati,na ya magharibi na ya kusini je haitokuwepo El nino?
2026-08-19 09:55:35
2
boina377
Boina :
ishindwe kwa jina la Yesu
2026-08-18 17:45:31
1
samwely.ramadhan8
Samwely Ramadhan :
Kigoma pamepitwaje
2026-08-19 16:12:43
0
jahangirsmirza
JAHANGIRsMIRZA💥 :
Hakuna hata siku moja mewahi kutabiri hali ya hewa sahihi .
2026-08-18 17:57:09
1
mankaa838
witnessjonas230 :
uku serengeti jana na leo alooh acha kabisaa upepo mvua ya mawee yani
2026-08-18 18:13:22
1
khadokapanda
khadokapanda :
Mbona hamsemi tuhifadhi chakula
2026-08-18 17:26:26
0
4eva.khalid
Khalo :
😳😳😳dah
2026-08-18 17:00:05
1
franci.sawilo
Franci Sawilo :
vip kuusu lukwa jaman
2026-08-18 19:02:23
0
sidemgalla666gmail.com
sidemgalla :
Iringa mby songwe Rukwa Ruvuma katavi hujesema itakuweje
2026-08-19 13:09:31
0
user6225292281618
saimon :
Mmmmhh
2026-08-18 17:17:34
0
user0760415818
KsanPharm :
Mbona central hampataji pame laaniwa au
2026-08-18 17:21:53
0
0746eman
SUNDAYI :
tunaomba muizuie
2026-08-18 20:42:24
0
rukhalrukhi
Rukhal Rukhi :
jaman taarifa kuhusu vyombo vya bahar usalama wake tuambiwe pia
2026-08-18 22:43:00
0
mr.nobody92797
mr nobody :
kiongoziii dar kumezidiii kunavuuua mpk linachomaa yan bila jua liwakeee
2026-08-18 17:52:07
0
user2520504984618
gasper :
niwaongo awa jamaa adiaibuu😂😂
2026-08-18 19:24:44
0
dickson.parmwat
Dickson Parmwat :
❤️❤️❤️🥰🥰🥰
2026-08-18 15:46:23
1
To see more videos from user @uhondo.tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About