@ktnnewske: Abdi Sebo, maarufu kama Abdi, ndiye anayedaiwa kuwa kiongozi wa genge linalohofiwa la Hammer Boys, na sasa yuko katikati ya uchunguzi kuhusu vurugu za Jumapili zilizosababisha vifo mjini Homa Bay. Abdi anadaiwa kuwa na uhusiano wa karibu na viongozi wakuu wa kisiasa na serikali, akiwemo gavana wa Homa Bay Gladys Wanga na Katibu katika Wizara ya Usalama Raymond Omollo. #KTNLeo

Ktn News ke
Ktn News ke
Open In TikTok:
Region: KE
Tuesday 18 August 2026 16:07:25 GMT
209913
16243
459
528

Music

Download

Comments

momanyiezekiel58gmail.co
Ezekiel Mokua momanyi :
they will use him today but tomorrow
2026-08-18 17:12:31
422
kijanayamtukufu
Adel ade☣️ :
that's why hakuna mtu anawatch ktn 😂😂😂
2026-08-18 19:58:14
2
kailani1231
baba kai :
huyo abdi serikali itamkula
2026-08-18 18:16:47
160
tsar_fassions
Tsar :
so in this report, how is Wanga and Ray working with Abdi...
2026-08-18 16:53:51
31
miyayiv
Miyayi Veron :
I remember a day when there was chaos where Wanga was and Wanga kept calling Abdi to bring order to the crowd
2026-08-18 18:57:50
11
decimalpeople0
decimal people :
yaani bado gachagua hii anajua pia
2026-08-18 17:17:16
253
gmsecurity4
gmsecurity4 :
Abdi should be arrested na aseme nani alimtuma
2026-08-18 17:35:04
5
unsuccessful_fx
EVANS FIXED :
KTN iko biased
2026-08-18 18:48:01
10
dal_728
Dal🦅 :
Riggy g was right
2026-08-18 17:44:24
4
chumba10000
amour🌹 :
yaaan ktn wanaamini gachagua sana Hadi wanamtumia kutoa evidence😂😂😂😂
2026-08-18 17:27:39
201
moseskariz82
JusticeSeeker🇰🇪🇰🇪 :
Tunajua ni Wanga na Kaluma
2026-08-18 17:02:41
121
spaghettimafia02
baldiola :
huyo jamaa anafaa kuwa funzo Kwa wengine
2026-08-18 18:56:58
40
ibrahmoh0
ABUH ‐🇰🇪 :
What kimd of government is this 😳😳
2026-08-18 18:19:33
5
user9353378532228
luo kido :
Oliver Jaoko ni nani?? selective news
2026-08-18 19:42:59
1
zein87092
Zein :
Abdi anakuaje mjaluo wakuu sijaelewa hapo.
2026-08-18 20:17:44
9
user0758555749
HUSSEIN ELSHAMY. LIVERPOOL FAN :
I heard Gachagua mentioning that name Sebo😂😂😂😂
2026-08-18 17:48:56
8
bismarkkitavi291
Bismark Kitavi :
ktn wanategemea gachagua kudanganya
2026-08-18 17:40:52
10
kilimo07954859824
Harun the Vet :
game ya wanasiasa itakuacha kwa Kaburi.
2026-08-18 21:05:17
6
private.mickeys
Mike Ödira :
Ruto tutam
2026-08-18 16:24:03
6
kimanironald
Ronald :
Hakuna kuchunguza, Bora asitoke hio Homabay.
2026-08-18 17:42:52
58
muthama.wairimu
Muthama Wairimu :
Riggy G chemchemi ya ukweli
2026-08-18 18:09:01
40
rodguyz
Rodguyz :
hawa watapotezwa na same government 🤣🤣🤣🤣 ndio secret iibaki secret
2026-08-18 18:56:57
47
omino15
620gx :
homabay tunapenda Wanga thoooo
2026-08-18 17:32:34
19
user8485497007110
user8485497007110 :
Haki huyu Riggy G ako level ya FBI
2026-08-18 18:40:48
35
tonniendegwa
Tonnie Ndegwa :
riggy g alijulia hii story wapi?
2026-08-18 18:17:46
100
To see more videos from user @ktnnewske, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About