@laughs_on_leonardo: DAH MAZOEA YAMEZIDI😂😂😂😂😂😂 Watanzania wote, ndani na nje ya nchi, pamoja na marafiki wa Tanzania kutoka sehemu mbalimbali duniani, mnakaribishwa kushuhudia historia ikiandikwa katika uzinduzi rasmi wa Julius Nyerere Hydropower Plant (JNHPP), Rufiji. 📅 Jumamosi, tarehe 22 Agosti 2026 🇹🇿 Mgeni Rasmi: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan Huu si uzinduzi wa kawaida. Ni hatua kubwa katika safari ya Tanzania kuelekea usalama wa nishati, ukuaji wa uchumi na maendeleo endelevu. Ndoto imetimia, mpango umewezekana Cc: @salim_kikeke @mzeeshayo_ Edits: @jaykiporo
Leonard Butindi
Region: TZ
Tuesday 18 August 2026 16:07:58 GMT
Music
Download
Comments
A21 resiliente 🇲🇿 :
part 2 please 🙏 Assu 🤣
2026-08-18 20:39:41
0
Sweetynana💕 :
Mtuambie kwann umeme unatengenezwa kwa maji lakn ukigusa na maji unapigwa shoti
2026-08-18 17:24:51
38
Alfred Kahwa :
Duu our content creator are government monitored 🤣🤣🤣🤣 and controlled 🤣🤣🤣🤣
2026-08-18 20:01:57
0
𝟎%_𝐂𝐑𝐄𝐀𝐓𝐎𝐑 👑 :
jamani naombeni mnisapoti mm ni mchekeshaji🥹🙏🥹🙏
2026-08-18 16:42:14
74
Jeff Moshi :
Jamani kutoka bbc mpaka ujinga wa comedy
2026-08-18 17:26:29
15
director Ajez :
Leo ww🫡🫡🫡
2026-08-18 20:34:46
0
Ze_sheni_92 :
mkifika buku mniite na mimi 😁😁😁
2026-08-18 16:12:47
25
Its Colly_West👣 :
why ashura🤣🤣
2026-08-18 19:44:59
1
Tiba Timothy :
in memory....since 00
2026-08-18 18:51:04
2
Kepha🦅 :
POWER HOUSE🔥🫡
2026-08-18 18:08:33
2
Washeeb♤ :
2026-08-18 18:12:01
1
homeboy ♎ :
na umeme ushuke sasa
2026-08-18 17:24:15
3
jumabaruwa :
Mbona hajajibu swali namba za ashura anazo😂😂😂
2026-08-18 19:07:45
1
elithinixty 28 :
20/20
2026-08-18 16:24:40
3
mgwaneza ndushabandi :
angekuwa ankle Magufuli tungekuwa tayari tuna tumia kwa sasa🤌 umechelewa sana kuzinduliwa
2026-08-18 16:46:03
13
Meckline trendings :
unaniachajeee asuu😂😂😂
2026-08-18 17:52:50
2
Chugaza Furniture :
yani daaaah
2026-08-18 19:04:24
1
"8 stey live" :
kwahii ya kutangaza miradi ya serikali nakupa 100% umeweza na enderea ivo ivo ✌️
2026-08-18 17:48:57
1
mallyabless :
Na bei ishushwe Umeme wa buku tupate unit 100
2026-08-18 16:41:47
10
Officialjiliu :
😂😂😂 Daaah
2026-08-18 17:20:46
2
yusuph gwasm3 :
ety una namba ya ashur😅😅
2026-08-18 18:44:32
1
Messotz :
una namba za ashura form 2 B
2026-08-18 17:33:30
2
official Mutrah :
Shayo Shayo 🔥🔥
2026-08-18 17:16:27
2
Julius Mollel :
Hiyo ushee mmepiga 😁
2026-08-18 17:39:20
2
To see more videos from user @laughs_on_leonardo, please go to the Tikwm
homepage.