@kisiwachamichano: #kisiwachamichano NAKULA BATA ILA SISAHAU KUWA NIMEPANGA CHEK HII NI KWA MABIBI NA MABAUNSA KAMA UNAWEZA FANYA KAMA HUWEZI UNAJIKAUSHA MI NDIO MWANAFUNZI NAEJIWEUSHA CLASS NAKAA NYUMA ILA CLUB NACHILI KAUNTA🔥🔥🔥🔥🔥 hii ni kesi sasa na tetetemeko la kutisha balaa lingine hili hapa WANAUME WA DAR MUMEFIKIWA SASA 😁😁vichwa vya kutisha michano ya kutisha humu ni michano tu na hiphop mwili mzima tu TUNATEST MITAMBO TUU HII NI SHIDA INGINE 💪💪💪 RAPA KIBATARI HUKU KWETU MBEYA ANAPULIZWA VUU,, ZINGATIA MICHANO WANAJUA WANAWEZA TUWASHIKE MKONO TUWASAPOTI KANYAGA TWENDE S@msaplyzo @un_name255 @ghost_the_living @southwest_neep @d_Killer_chinga @mwaba_moka @shamlago_mc @kindingo9 @southwest_slider #kaziiendelee @salim_alaudin #kitaanasanaa #hiphop
class na kaa nyuma ila clab nachil kaunta ayeeeeee
2026-08-19 09:15:39
2
Maphorisa :
always God saves the living💪✊
2026-08-19 04:02:13
1
Aron :
darasani nakaa nyuma ila bar nakaa mbele counter😂😂😂
2026-08-19 06:47:21
3
Rich Rhymes :
1: "Nikijenga akili itadumaa, ndo maana siachi kupanga"
2:me ndo yule mwanafunzi ninayejiweusha, class nakaa nyuma, ila club nachill counter."
3:"kibongobongo majimaji ya songea me ni kolo"
4: "sing'oki kwenye kiti cha HIPHOP nilikalia gundi"
Nouma sana wangu , kwangu mimi hizi ni 4, kuntu na zamoto balaa
2026-08-18 21:09:04
7
Barack Jande :
isanga 🔥
2026-08-18 21:45:26
3
smart-Fly🐧❤️ :
Ni noma Huyu Mac wa 3
2026-08-18 23:23:37
1
mpollo :
tumepetea ila tutafika ukinifata😆
2026-08-19 05:52:08
1
Mmarekani21 Dash :
hahaha kkt au kisiwa cha michano
2026-08-18 21:32:30
2
EmiGame chemu :
noma xana wanangu
2026-08-18 18:55:06
2
Mr maburudani :
nomaaaaa sana
2026-08-18 17:19:35
2
official sinkala :
mbeya mabegani😁😁😁😁
2026-08-18 17:34:18
2
_deportivor_ :
hapa ni hiphop tu….🔥🔥🔥🔥
2026-08-18 20:41:49
2
its_G :
Mbeya mabegani🔥🔥🔥🏆
2026-08-19 03:47:36
1
mr white :
kitaa na sanaa🔥🔥 isanga native
2026-08-18 17:56:42
2
slacker 2546 :
hip hop Sanaa ☠️
2026-08-18 16:26:19
2
SOMJI MJISO8 :
mwaba ni noma anakwambia class nakaa nyuma ila club nakaa counter
2026-08-18 22:01:04
3
laiza :
class nyuma club kaunta
2026-08-18 18:36:01
1
father suma...✊ :
tumeota tumevaa laba👟Kali na hatuna miguu
2026-08-18 20:09:19
3
To see more videos from user @kisiwachamichano, please go to the Tikwm
homepage.