@zaramoonlinetv: Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa angalizo la uwezekano wa mvua kubwa zinazoathiriwa na El Niño kuanzia wiki ya nne ya Septemba hadi Oktoba 2026, huku athari zikitarajiwa kuendelea hadi Januari 2027. 📍 Maeneo yanayotarajiwa kupata mvua za wastani hadi juu ya wastani ni pamoja na: 🔹 Kanda ya Ziwa Victoria 🔹 Dar es Salaam 🔹 Tanga na Pwani 🔹 Kaskazini mwa Morogoro 🔹 Zanzibar 🔹 Arusha, Manyara na Kilimanjaro TMA imesema ongezeko la mvua linatarajiwa zaidi Novemba 2026, huku mvua zikitarajiwa kuendelea hadi Januari 2027. ⚠️ Mvua hizo zinaweza kusababisha mafuriko, uharibifu wa mazao na miundombinu, unyevu kupita kiasi kwenye udongo na kuongezeka kwa magonjwa. 👨‍🌾 Wakulima na wadau wa sekta mbalimbali wametakiwa kujiandaa mapema, huku wananchi wakihimizwa kufuatilia taarifa rasmi za hali ya hewa kutoka TMA. 📹 ZARAMO ONLINE TV 📰 #HabariZoteZikoHapa #TMA #ElNino #Mvua #WeatherTanzania

ZaramoOnlineTv
ZaramoOnlineTv
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 18 August 2026 16:29:26 GMT
58497
782
13
337

Music

Download

Comments

mariamamismariam
mariamamismariam :
yarabi tupe mvua zenye kheri na sisi
2026-08-19 19:24:27
4
eva.mwakyabala
Eva Mwakyabala :
ituache
2026-08-19 05:38:36
0
user2870961531710
mr Omar :
kigoma je
2026-08-19 06:17:39
2
muemmanue
Surveyor Lovely 715 508 090 :
mikoa ya katikati,magharibi na kusini je hamna Eli nino?
2026-08-19 09:51:45
2
ney25164
ney :
mungu ndio anajua
2026-08-19 07:54:02
0
lucymgaya161
Lucy Mgaya :
eli Nini nikitu gani tusaidie tujue
2026-08-19 11:19:41
0
user59134010653817
Faymah_shop :
mungu tuepushe na garika Hilo
2026-08-24 21:20:30
0
janney7
janney :
naishi bondeni peke yangu siwezi mie namwachia Mungu ndo anajua
2026-08-19 08:46:39
0
sheru2284
Sheru2 :
mungu tupe zenye heri.
2026-08-19 18:03:59
1
harunamdemu5
Manyessa Wisdom show :
YA ALLAH TUEPUSHE NA MAJANGA YA MVUA ,UPEPO NA MATETEMEKO YA ARDHI INSHAALLAH
2026-08-24 15:13:37
0
ester.munisi3
Ester Munisi :
Mungu mwenye enzi tuokoe na hayo majanga kwa jina yesu nami natabiri inyeshe mvua ya kawaida 😇
2026-08-25 09:06:52
2
catherinemollel66
catherinemollel66 :
ee mungu tunaomba utupe mvua ya kiasi🙏🙏
2026-08-26 23:01:57
0
To see more videos from user @zaramoonlinetv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About