@happymarket.tz: Water Flosser 🦷💦 25000 Unataka usafi wa meno wa level nyingine? 😍 Water Flosser ni kifaa kinachotumia pressure ya maji kusafisha mabaki ya chakula na uchafu katikati ya meno na kwenye gum line, sehemu ambazo toothbrush inaweza kushindwa kufikia vizuri. ✨ Faida kuu: • Husaidia kuondoa mabaki ya chakula kati ya meno • Husaidia kusafisha gum line • Inafaa kwa matumizi ya kila siku • Ni rahisi kutumia na convenient • Perfect kwa wenye braces 🦷✨ 📍 Dar es Salaam — Ubungo Mawasiliano Stand 📞 0786 546 444 #waterflosser #oralcare #dentalcare #teethcare #tanzaniatiktok