@nawadhtronics: Download yako inakatika katikati na kuanza upya? 👀 Internet Download Manager (IDM) ndio kiboko ya ma-download yote kwenye PC: ✅ Speed kubwa mara 5 zaidi ya browser kawaida. ✅ Ina-pause na ku-resume hata internet ikikatika. ✅ Inaleta button ya kudownload video yoyote mtandaoni. Comment IDM hapo nikupe mwongozo wa kuisetup vizuri! Tunapatikana Dodoma #creatorsearchinsights