@gipma_tz: ni mbaya🙌 #fyp #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokkenya🇰🇪 #tiktokuganda🇺🇬 #viralvideos

gipma_tz
gipma_tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 18 August 2026 16:48:57 GMT
12849
824
25
20

Music

Download

Comments

deborahmrema
deborahmrema :
kabisa tena itumie vizuri kurekebisha makosa na kuweka sawasawa mambo yako
2026-08-19 05:54:32
5
corzacane.senders
corzacane senders 👟🥿🩴 :
ne wew ukipata mtu sahihi usimchezee Maana wapo wachache sana wengine Kilasiku tunalia mpaka tunamua kuish wenyew TU😭😭😭
2026-08-19 07:17:17
2
swahib876
young swaah :
amini mwenetu mapenzi nikitu cha kijinga mno
2026-08-19 07:04:05
2
yohane.andrew8
Yohane andrew :
me nlipoipata mpaka now sitaki kuiwachilia
2026-08-19 05:23:50
2
user95202172496195
Robby Tiles :
Umetisha sana mwanangu 🙏
2026-08-19 06:18:28
2
binadamu.wabaya.sa
BINADAMU WABAYA SANA!!!! :
wife kaondoka na mtoto wangu sababu ni wazazi wake wanataka Mali sasa mwezi umepita hpa nawaza kuwa single milele
2026-08-19 06:25:22
1
kapastar_
kapastar :
apo mwanzon ilinisumbua sana sitokaa niipoteze tena
2026-08-19 07:00:37
1
marckmpagama3
marck mpagama :
sahihi kabisa
2026-08-18 17:24:05
3
user8881684163037
Mr Makamba 🤓🙊💗 :
me natakaa tu jina la wimbo wakuu
2026-08-18 19:25:21
0
mrfurniture23
babamimah3 :
daah kwel mzee upo sahiii
2026-08-19 07:47:54
0
user681324495466
Alex :
sahh
2026-08-19 07:29:37
0
user6215731149674
meemah🥰 :
kwakwel🤣
2026-08-19 06:11:23
0
o_p5035
O_P :
una maana gan?
2026-08-19 04:33:31
0
user8757369097073
Dm💪 :
kwel kaka m nainjoi sana
2026-08-19 05:13:58
0
chaz.kimambo7
Chaz Kimambo :
kabisa
2026-08-19 07:13:30
0
becca.love84
Aïsha 💕💕 :
walai😂😂😳😳
2026-08-18 20:09:27
0
nassoromgeni93
Nassoro Mgeni :
maneno kuntu mwanangu ila tatizo hiyo nyimbo unaikatisha uwe unaiachia
2026-08-19 05:19:52
0
raya.mwaigomole
Raya Mwaigomole :
😂😂😂hahaaa jaman
2026-08-18 17:00:58
0
jessie.petel7
jessie petel :
Daah ila kwel🥹🫡
2026-08-18 18:17:51
0
kide.star
Kide star🌟 :
hii kweli mazee😅😅😅
2026-08-18 18:18:18
0
mahmat008
MAHMAT :
sawa
2026-08-19 07:49:14
0
ginabmehmed
Ginabr🐎 :
Muimu mkuu🙌
2026-08-19 08:14:41
0
nyambura.siwa
nyambura siwa :
sawa😁😁😁
2026-08-18 18:32:42
0
nassor7736
NASSOR :
sitak kuwa single maana nimechoka na sitalajii Tena kupiga masterbation (PUNYETO)
2026-08-19 07:25:43
0
melibu71
melibu71 :
😁😁ukifia usingizini tutasikia halufu tyu endelea kuwa single
2026-08-19 05:29:49
0
To see more videos from user @gipma_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About