Kusema ukweli sijapenda vile sijaona baddie wetu 🤔
Ama hua mnadhania ni nyinyi hua tunaona🤔😂😂
Last warning.
Anyway mnakaa fitii🥰❤️❤️
2026-08-18 17:36:45
3039
Kafelly :
Mimi nikijaribu mjaluo nakua funzo Kwa wengine 😭😭
2026-08-19 05:21:11
615
Ma Waziri :
Most n very important person Missing ATANA APUDO
2026-08-18 17:11:10
213
Katoi :
Sasa uku n wapi mungu wangu😫😫
2026-08-18 17:48:02
470
Kendi Purity :
huyo msichana akona dress ya brown ni nani pliz
2026-08-19 18:30:07
98
Teddy Jay :
can I get someone to talk to me without judging depression is killing me 😭😭
2026-08-19 11:28:13
71
joy joy :
pesa nikikupata wewe
2026-08-19 08:38:54
18
gracemwengi777 :
ila sisi wengine tulikuja duniani kuota jua jamani🤭
2026-08-19 20:37:17
34
Moreen Wamugi :
Mungu kuongea ukweli uliamua mih bora nishibe niko sawa
2026-08-18 20:59:20
51
Mercy Okedi :
Alafu mtu useme ATI uwezipata mtu anaweza kupenda na watoto 🥹 it depends Mungu kama niliwai kukosea Kwa hii Dunia nipee tu Sasa wa roho kama hii ya rapudo
2026-08-19 04:45:11
22
ruth254 :
where is Atana mumemuacha Leo 🤣🤣🤣
2026-08-20 02:13:23
0
essybossy0 :
Mungu sonata Mimi unionjeshe hii Maisha ata kama ni Kwa ndoto🤔🤔🤔
2026-08-19 11:22:26
6
pixie😋 :
hii dunia nilikuja kushtuka,kushangaa na kusema I wish🥺🥺 hakuna kitu ingine
2026-08-18 19:47:22
5
just Bree🌹 :
wapi atana
2026-08-18 17:10:20
118
shivanysmith :
Atana wetu yuko?
2026-08-18 18:48:05
17
@Rare black kamba bae :
Mimi kama nikona dress kama ya amber ray I will be rich like her
wenye wako na hii spirit show me love 💓💓
2026-08-19 12:36:29
30
@mama Julie :
aki pesa wewe kuna siku ntakupata utajua haujui❤️😂
2026-08-18 17:59:09
5
lindah4258 :
nimekaa chini kufikiria maisha yangu after ku watch hii video na kitu naeza sema Wacha yesu arudi tu ju sasa nafanya Nini kwa hii dunia
2026-08-19 10:02:01
26
To see more videos from user @amber_ray0, please go to the Tikwm
homepage.