@lamjay13: The time will come#song#kalimeenyshowayaanny #ramygamalofficel@Three_brothers👑 @eagle_yamal @_DËLØÑÈ 👑💙

🎙️LAMJAY🎙️
🎙️LAMJAY🎙️
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 18 August 2026 17:13:07 GMT
169079
16143
751
305

Music

Download

Comments

grolyww0
Glory :
why uimbe vzr hiv lkn 🥹🥹🥹🥹 🥰🥰
2026-08-20 14:53:52
0
suraiyacosmetics1
SURAIYA❤️🫂🫶 :
nimevumilia mtu hana kazi nikawa nampa pesa tukitoka atoe yeye ili heshima yake isishuke ila jana Ananambia anamtu mwingine kisa kapata tu kazi Allah hatanilipia kwa hili😭😭😭
2026-08-19 07:51:19
482
the.empress94
The Empress :
Nakumbuka Kuna mda tulipitia nyakati ngumu na mumewangu 😢siku moja nilikuta kajiinamia nikamuuliza nini shida akanambia nimuache niende kwetu🥺🥺yeye apambane mwenyewe akikaa sawaa atanifata maana anaona jinsi ninavokonda na kupoteza nuru hvo anashindwa kuniona napambana kumvumilia wakat kwetu Kuna kila kitu😭😭Nipo navumilia hadi pale Allah atakapotufungulia mlango wety
2026-08-19 05:56:27
281
user78298292202484
ukhutshaa@123 :
mashallah wish nimpate mwnaume kama🤲
2026-08-21 20:11:01
0
crimsonqueen183
Rahma :
Masha Allah that's amazing voice🥰🥰
2026-08-21 07:23:23
0
munahalshibani
munah shaaban :
jina la nashdi please
2026-08-21 12:02:31
0
mwasham.said55
Mwasham Said :
my situation now 😭😭😭😭am so tired jaman uwiii 😭😭
2026-08-19 05:06:41
37
user8202606848218
N@yph@t :
invisible sound 😊 congratulations
2026-08-20 13:25:51
0
arafamapunda0
arafa omy :
ndo hali ninayopitia namvumilia mtu mwaka wa5 sasa ila bd nk nae tu daaaah mungu baliki huyu kijana wako
2026-08-19 09:33:44
23
zeneerahgal
zeneerahgal :
De voice ,mashallah
2026-08-20 18:47:17
0
amiry0.2
lovely 😍 :
Wangu alisema Kuna mda naona aibu Hadi kukuangalia 🥹😭 kwajins unavyonivumilia .. anapambana San Inshallah Allah atatufungulia tu 😊
2026-08-19 06:46:35
44
dijah.nassor
Dijah Nassor :
nilimfumania Nikatafta mwanaume wa kunipoza machungu nikamkataa akarudi nikapanga anifumanie akanifumania akarudi kuomba msamaha akasema kweli mm ndo mkosa nisamehe bila ww siwezi mke wangu inatosha .saivi kapoa mwaka wa nne tangu ayo matukio shenzi kabisa huwezi kuniumiza nikakuchekea lazima tugawane maumivu😭
2026-08-19 07:48:58
40
chummy941
chummy🦋 :
Mind you guys that song is a romantic song not sad song😂🤚
2026-08-19 15:29:30
5
hawa.siela
💯💯💋 :
daah kwanin unakuta miye nimenyooka kwenye mahusiano alafu na pata mwanaume wahovyo😫🥺 jomon kwanin miye two kwani ni thambi kumpenda mtu kwely au nakoseyaag wapi jamanii duuuh🥺😢
2026-08-19 07:46:09
23
kilongoji
sophia :
nakumbuka kunakipindi mume wangu alipitia magumu jaman mm nikashidwa kuvumilia 🥺 nikaondoka hata Bila Kuaga kaenda kujipambania huko mm nikabeba Kila kity changu nakuondoka Lakin hakuchoka. alipokaa sawa akarudi tena nipo nae mpka sahv
2026-08-19 06:55:47
22
user5943008228250
Husein official TZ🇹🇿🤝 :
kuna muda inabidi mdomo unyamaze,na moyo upewe nafasi ya kusema,😭😭💔
2026-08-19 06:33:43
15
mbony.othman
Mbony Othman :
wengn tuna kiburi na madeko yaliyopitiliza lkn bado kuna mtu yupo na wewe hata wakati unapokuwa na hasira zisizomuhus ukamjibu vibaya bado yeye anasema "am sorry kama nimekosea" aiseeeee ubarikiweeee popote ulipoo wallah me mwenyew nisingeweza kumvumilia mtu huyo🥰
2026-08-19 07:49:56
22
user5943008228250
Husein official TZ🇹🇿🤝 :
kunamuda,unapendwa mpaka unasema,mbona mimi simpi mwenzawangu ,upendo unaostahili😫😫
2026-08-19 06:26:56
10
nuchu.khan
Nuchu khan :
me nmemfumania kaniomba msamah alhamdulillah kanicheat tena😁
2026-08-19 08:39:58
6
ramazawadi759
nunguTz :
mungu atakufikisha Kam wale alio wafikisha kabla yko, NEVER GIVE UP kak 💪🔥
2026-08-18 17:22:52
24
misspink319
miss pink :
Nilienae sshv Wallah Allah ameniletea mtu muhimu Katika maisha yangu Alhamdulilah 🥰
2026-08-19 03:43:22
12
mirrorgirl033
❤️‍🩹mirrorgirl💫💦 :
mbona machozi yananilenga😔
2026-08-18 20:01:57
9
zenamohammed723
zenouh Mo :
nilimvumilia lakn alipopata kanitupa🤣🤣🤣🤌
2026-08-19 05:25:06
6
To see more videos from user @lamjay13, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About