@lutanajr: Huyu Padre si mtu WA mchezomchezo anaongea kiarabu kama vile anakunywa maji😂🤣 #swahilitiktok #tanzaniantiktok🇹🇿 #videocomedy #foryoupage #funnytiktok
nilikua nime nuna nime vurugwa ila 😂😂😂 mwambie atafsir tumuumbue
2026-08-19 08:40:09
3
bjb :
wanangu wa Amina tupo Yan ni kuitukia Amina tushindwe napo 😂😂😂😂
2026-08-19 06:20:03
11
 :
@:even my Sudanese girfriend couldn't understand😂😂
2026-08-18 23:29:17
1
Dris_Magic🐰 :
Amna kitu hapo
2026-08-18 21:33:16
14
queen flower💝 :
heeeeee
2026-08-19 08:07:08
0
barista dunye :
nmeskia strawberry
2026-08-18 23:19:13
4
Dijjah fashion point :
Hyo tunaitikia aimeeen
2026-08-18 20:52:17
2
Mr. Nobody003🇹🇿 :
Kuna watu wanaamini Kiarabu ni lugha ya Waisilamu. Tazama nawaambieni, Mungu hakuwahi kuwa na dini, ndo maana hakuna sehemu yoyote kwenye Biblia ama Quran pameandikwa kwamba Mungu alimtembelea mtu yeyote wakashindwa kuelewana kwa sababu ya lugha tofauti