Hilo ndilo tatizo kwa wakulima Yani pesa yote hii anaweka mbegu lita 10-12 kwenye ekari moja
ukweli naomba tubadilike ndugu yangu maana tunapata hasara sana
mimi nilijaribu kuweka lita 17 japo kitunguu nilizidisha mbolea kikapasuka sana lakini zilitoka gunia 87 rumbesa juu alikua anaweka dabe 4 kama unavyojua kikishuka bei wanapima watakavyo bei ilikua 40
mpaka tuligombana kwasababu ya ujazo
tubadilike wakuu
#NB
lakini hili niwazo TU
2026-08-23 05:47:09
3
Ayatollah mhongole Khamenei :
sahihi fact
2026-08-19 13:44:10
0
Bin Seleman🇹🇿 :
maelezo mazuri
2026-08-18 17:40:48
0
joe_aspas :
safi sana
2026-08-19 02:36:44
0
Mpemba farm🍍🧄🧅🫛🫘🥑🍈🍉🍌 :
Yupo sahh ila kwa swala la bustani
Huwa hakuna bajeti Kamil.... Cž pembejeo huwa znabadilika
2026-08-19 07:49:41
0
hassan nyangi :
daraks hongera sana.ila usisahau kua pata chakula safi kwa kupikwa na hassan test food pia harus shelehe yoyote ile ukitaka mtafute hassan testar food tunapatika lugelele
2026-08-20 13:35:38
0
rahma mteleke :
kweli wee ni mkulima wa vitunguu
2026-08-19 05:12:10
0
Delux Pharmacy :
@kalubandike ni kwel??
2026-08-20 14:11:40
1
To see more videos from user @mbaraliphoto, please go to the Tikwm
homepage.