@lovepoem69: Replying to @lovepoem69 hii inauma sana haswa ujikute mahali unapopenda hupendwi na tayri ushajua upendwi lakini moyo unagoma kuondoka ila akili inakufosi kukaa mbali nae oyaa oyaa ndo hapa utakapoona kwanini mungu alitaka giza lisidumu kuwe na mapambazo yaani mwanga pia yaani hii situation ni ngumu mno hapa mungu tu ndo anaejua yaani 💔🙌 . . . #brokenheart #flypシーforyou #tiktok #trendingsong #goviralnow @Ibuuhd. backup @K2 Entertainment