Alhamdulillah. shekh umenikumbusha siku aliyokuwa baba angu yupo katika sakaratul maut Alhamdulillah nilimtolea shahada baba angu hadi anarejesha kwa Allah. Yaarab wasamehe wazazi wetu ndugu zetu wote waliotangulia mbele za haki kwa ujumla. na utusamehe na cc tulokuwa nyuma yao kwa ujumla Allahumma Amiin.
2026-08-19 07:55:20
12
Sadlinah 👸🏿 :
Nimejikuta natoa machozi tu😭😭 Allah atujaalie mwisho mwem inshaaaAallah🤲🤲
2026-08-18 20:17:22
9
Big daddy H :
Sheikh Walid kiboko wallah
2026-08-19 06:50:16
7
ZAINAB CHITSANGI :
Allah atuongoze jamani
2026-08-19 05:39:23
5
Akhy :
wazazi wa saa hii wanataka wasanii,
2026-08-19 08:29:53
5
Dr. Mtauni :
hii Sababu pia Ukweri Jmniii
mchungu
2026-08-18 19:05:49
4
Bin luseke :
Mufti wangu kabsa jamaa anavitu vingi daaa Allah akusimamie
2026-08-19 08:11:40
4
Sam :
yaukweli ayo hatuna mungu atuhifadhi na watoto wetu
2026-08-19 06:57:36
3
AUNTY B :
Allah atukumbushe mema tuyazingatie sote na vizazi vyetu
2026-08-19 07:06:07
2
Amy girl :
Allah atujaalie mwisho mwema
2026-08-19 05:18:46
3
zuu baby :
Kanigusa jaman🥰
2026-08-19 00:56:04
3
Salma Hanai :
Shekhe Allah akupandishe daraja
2026-08-19 02:36:09
2
Yasmin Liare :
Allah atuongoze katika kheir
2026-08-19 06:32:33
1
inkunjany :
kutoka Mombasa KENYA hapa
kwa mara yangu ya kwanza nakubaliana nawe...umeginga ndipo kabisa
2026-08-19 10:58:33
2
Abdulnaseeb Omar :
huyu ndiye shekhe wa muda wote siyo yule wa kutoa mijicho na kutufokea,, nakupenda kwa ajili ya allah,
2026-08-19 09:33:15
2
dust pink :
maanshallah mane
kutuh wallah nimsiba
2026-08-19 11:13:13
1
mwasikitoko :
sheikh alikuwa anaona mbali sana
2026-08-19 07:08:12
2
didajunior :
hiyo ndio ratiba yangu mm kwa watoto wangu angalau wawili....inshallah amiin
2026-08-19 06:08:31
2
Ummuminah👸 :
Allah Akbar
2026-08-19 05:51:02
2
Arapha Manda :
mtihani mkubwa
2026-08-19 05:46:44
2
General :
swadakta 🥰🥰🥰
2026-08-18 19:08:43
2
Raisa chala :
Allh mwisho mwema 😭😭
2026-08-19 08:27:40
2
Amina Bate :
subhanallah msiba hii
2026-08-19 04:58:39
1
Love hawaa❤️❤️ :
nimekuelewa kuliko siku zote shekh allah akulipe kheri
2026-08-19 04:40:59
1
To see more videos from user @djuma.said.kapalu, please go to the Tikwm
homepage.