wapambane na hali zaoo me yana nihusu Nini sasa🤣🤣🤣🤣
2026-08-19 04:40:09
0
Regnald Creator :
Ulie soma comment yangu mungu aendelee kukujalia uzima na Baraka
2026-08-19 05:53:16
155
MA.ALOLO🖇🫧 :
wapambane na hali zao me inanihusu nin sas😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-08-18 18:10:57
325
shutout ka boiman :
huyu a join heha movers ataongeza power
2026-08-19 05:21:15
0
ma rich :
mama salome kwamba tupambane nahali zetu🤣😂
2026-08-18 18:06:08
165
KhadijaIrene :
kwahyo salome anamaanisha kwa Mungu hakuna msosi? sa itakuwaje?
2026-08-18 19:22:27
33
Ossy Jr. :
Kwa Mungu akupikwi 😂😂
2026-08-18 21:29:32
0
theddywardrobe :
Hivi salome sio ndugu wa khikho yule wa god must be crayz🤔
2026-08-18 19:00:21
63
Melody :
Ikifika 20k mje mnishtue
2026-08-18 20:08:29
22
lady zube 🥰🥰 :
love you salome😂🥰🥰
2026-08-18 19:39:27
0
dijjah wa ney🥰 :
ma mgwani 😂😂😂
2026-08-18 18:01:43
0
NASSOR :
salome yupo tayari kwa kila swali linalokuja ukimuuliza tu kajibu apoapo yani kama Ai
2026-08-19 05:35:02
10
𝐀.𝐃𝐮𝐧𝐠𝐚⁹⁹ :
Love from kenya 🇰🇪
2026-08-18 18:24:24
51
2022vex :
Salome luv🥰🥰🥰
2026-08-18 19:59:47
0
👑TOZZY NOIR💫👑 :
Leo mapema kwa mkali salome
2026-08-18 18:01:09
23
Ummy Nassir :
Si hata nyinyi mmeona ukipendwa hata vya uwongo uwongo unaglow nakupendeza oyaa je ukipendwa kweli Sasa embu imagine just imagine 😉🥰🥰👌👌👌pambe sio pambe Salome kawakaa
2026-08-18 19:40:38
8
zu-❤ :
kwakweli hakupikwi🥰🥰
2026-08-18 18:46:29
5
Bigboss The Mafia :
Wapambane nahali zao Mimi inanihusu Nini Sasa hao Watu?🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-18 18:24:46
5
offline :
mbadilishie na sauti bc nakuomba😂😂
2026-08-18 18:47:12
6
zeddy💕♌️ :
13/13
2026-08-19 05:04:09
0
kevoo :
nani yupo tayari kuolewa namimi
2026-08-19 05:06:13
1
elithinixty 28 :
20/20
2026-08-18 18:08:13
3
finaah collection 😍 :
5/5
2026-08-18 19:31:31
0
nuhraty777 :
mama hana haraka ya kuongea😹😹
2026-08-19 06:54:14
1
To see more videos from user @rascol_medy, please go to the Tikwm
homepage.