@zeno_tz: Dogo anapitia hali ngumu sana Daah#vira #trending #newsong #tiktok

ZENO TZ
ZENO TZ
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 18 August 2026 18:18:25 GMT
147436
13377
1163
383

Music

Download

Comments

user9498747830810
BAD WIZZO GANSTER :
bro msaidie dogo aiseeee duuuu inachoma balaaaa
2026-08-18 18:35:05
2
www.tiktok.comtz2
+255🇹🇿🇹🇿 :
Bro huyo dogo anahitaji zaidi ya msaada huo anaoutaka naomba mawasiliano yake niko tayari kukaa naye na shule ataenda nina wadogo zake wawili kama hao
2026-08-19 10:32:28
115
braisonbraison3
Braison Braison :
god bless you my young brother,
2026-08-20 10:31:55
0
zarunajuma
queen :
naamka tu. nakutana na hii😭😭😭 mungu mtie nguvu huyu kijana
2026-08-19 05:26:17
234
user4965877800510
Tuma baby :
😭😭😭😭😭Inauma tena inachoma
2026-08-19 08:26:39
1
user5657853825302
aisha :
ee mungu wafungulie njia watoto ate wanao anagika mtaani
2026-08-19 05:20:40
114
provikongole
Provi dens Bahufite :
ee Mungu walinde watoto kama hawa uwa bariki
2026-08-18 23:46:22
68
rehemamshana72
rehemamshana549 :
pole dogo
2026-08-20 12:49:08
0
vaileth.beutus
Vaileth Beutus :
MSAIDIE HUYO MTTO KAKA WOTE TUMETOKA HUKO
2026-08-19 02:47:26
28
user1522573053336
farida :
anapatikan wapi huyo dogo Kuna watu wanapitia magumu
2026-08-19 08:43:03
27
raphael.mwicha
MwiCha BoY✊️ :
bos wa baadae huyu🥰🥰🥰
2026-08-19 03:55:29
53
user60908304507763
Blessed girl♥️🙏 :
daaa jmn me hz moment Huwa zinaniliza
2026-08-19 18:18:53
0
user5323637491477
ENK elizaa :
daah mwenyez Mungu aendelee tu kutusaidia jmnii
2026-08-19 01:50:22
24
makavel.shakull
Makavel Shakull :
sina neno lla ubalikiwe sana broooh, na mungu akuzidishie
2026-08-19 05:54:29
23
janemtusi
JANE mtusi💝 :
Duh msaidie jaman🥹🥹
2026-08-18 18:25:57
22
mr.d8061
Mr.D Tz :
god bless
2026-08-19 01:28:41
1
lovebeauty574
love beauty🙈 :
Daaah nimejikuta hadi natoa chozi😰
2026-08-19 05:53:20
15
rey.kitchen.ware
rey kitchen ware :
😭😭😭😭niltakaga ni toroke nyumbani kwa sababu ya madeni molivyokumbuka ninawatoto wa marehem dada angu na ninawakwangu nirirud nyuma nakumupmba mungu nyiee umasikin mmbaya sana
2026-08-19 09:29:10
6
hellensalugag3
hellensalugag :
tupe namba chochote tutoe ili apate pa kulala kwanza aisee inauma☺️
2026-08-19 05:46:45
8
babashamu69
Baba Shamu :
namba ya simu
2026-08-19 04:50:51
6
lucy.mligo1
Lucy Mligo :
Sasa akipewa mtaji hana pakulala jaman . au mchukue tu jaman
2026-08-19 03:41:04
12
yazzidkhadijagmai
[email protected] :
Watu wanapitia mengi sana ila yatapita tu kwa uwezo wa Mungu weka no tutoe chchote In shaaAllah.
2026-08-19 07:49:57
9
mima63094
mima :
niunganshe nae ama npe nimsaidie brooo naumia sana
2026-08-19 06:20:25
5
furaha.elias01
furahaelias8 :
dogo yupo maeneo gan mm npo kahama nije kumuona
2026-08-19 10:36:14
6
anithakinanda04gmail.com
fety🖤🩶🇹🇿👸 :
kaka naomba nambar ya huyo dgo mimi nitaishi nae kwanagu jamni kama inawezekana
2026-08-19 05:19:05
8
To see more videos from user @zeno_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About