@fadhilomarydai69: 😭😭😭🔙🔙🔙🤳Gali la kampuni ya MINAL FAIDHINA linalo fanya shughuli zake kutoka Tanga kwenda bumbuli limepata ajali Leo talehe 18/8/2026 maeneo ya vuga road muda wa saa 7 mchana Watu Zaidi Ya 7 Wanahofiwa kufa pale pale wengine wamepelekwa kituo Cha afya Soni na wengine wamepelekwa LUSHOTO hospital mungu awalaze mahali pema peponi ndugu zetu walio kufa na majeruhi mungu awasaidie wapone haraka

FADHIL Omary Dai
FADHIL Omary Dai
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 18 August 2026 18:23:42 GMT
43938
3705
404
169

Music

Download

Comments

aemmanha
aemmanha :
Allah awarehem🥹
2026-08-18 20:36:47
0
user63batulygee
Batuly Gee❤️😍 :
Daah polen sana ni mpango ya mung hatuwezi kuzuia😭😭😭😭😭😭😭
2026-08-18 18:30:27
19
user6696527555432
salma luhizo 97 :
poeni san
2026-08-18 19:28:28
0
zakaria519a
zakaria💥 :
daa inaum san wallah poreni san hakika kazi ya mungu haina makosa
2026-08-18 19:20:28
9
rajabmussin
Rajab Mussi :
pole san 🙏🙏🙏
2026-08-18 19:29:41
0
user151037278
ummykimea :
😭😭😭😭Baba angu mdogo uwiii basi Mwenyezi Mungu ampe kauli thabit
2026-08-18 19:41:31
2
aysher596
💜Precious💦 :
Jmn polen sn kinachonium hyo mtt mchanga aliokufa wallah 😭😭😭
2026-08-18 20:00:33
2
user6329434360530
ayubu khalfani :
poleni
2026-08-18 19:06:43
0
user7146171795657
Aisha💕💘 :
jamn inauma san
2026-08-18 18:40:48
0
user7768084085001
Dijjah🥰💞 :
Duh Innalinlah wainnalilah lajiun 🙏 mungu awatie nguvu ishaalah
2026-08-18 19:37:25
7
miro.junior62
Mrs idrisa 😍 :
Allah awape kauli thabiti🤲🤲🤲
2026-08-18 19:05:50
3
tanzaniangirl4
tanzaniangirl4🇹🇿 :
X wangu awepo kwenye ajari hiyo
2026-08-18 19:30:32
0
user19786543342232112345
atanacis francis :
pole San mungu awasaidie walio fiwa
2026-08-18 19:06:31
1
momuzairy
Mom3@ :
Omar dai tunakuomba paza sauti kwa madereva wetu jamani barabara yetu ni nyembamba kama safari tumeshatoka majumbani tutafika TU kwa uwezo wake mola lakini sio kwa speed zao madereva wetu Hali ya kuwa wanajua barabara ni nyembamba na hata gari ikipata ajali inaporomoka Moja kwa Moja mpaka bondeni hakuna kizuizi tuofaut na barabara za wenzetu gari ikianguka haiporomoki😭😭😭😭😭 nimeumia njia ni yetu sote lakini daaaa imeniuma hii
2026-08-18 20:40:24
0
mwanaonlineshop
Mwana online shop :
hakika kwake tutalejea nimeumia sana yani
2026-08-18 19:20:52
1
aishashaaban382
Aisha Shaaban :
Inna lillahi wainna ilaihi rajiun,, Poleni sana ndugu jamaa na marafiki wote kwa ujumla 🙏 😭😭😭
2026-08-18 19:02:09
1
shaymah.mussa
Shaymah Mussa :
dah hme
2026-08-18 21:20:40
0
user4281361579726
mishy beib :
poleni
2026-08-18 19:36:19
0
saunaibrahimu
Sauna ibrahimu :
Allah awape kauli thabiti 😭😭😭😭
2026-08-18 19:14:02
1
nusra4963
Nusra :
inalilah wallilah lajuh inauma sana ila sote njia nimoja 🥺😭
2026-08-18 18:47:52
1
user389yn
eunice# :
duh jaman inauma sana 😭😭
2026-08-18 21:31:44
0
zahoro657
Zahoro :
mungu abariki
2026-08-18 21:27:38
0
umunassor115
umu wa To :
Mungu mkali
2026-08-18 21:26:08
0
abiudikikoti
abiudi kikoti :
polen
2026-08-18 21:23:43
0
zamzammweta
zamzam❤️🥰 :
Dah innallillah wainairah rajiun poleni ndugu zangu wanalushoto mlopoteza wapendwa wenuu hakika kila nafsi itaonja mauti😭😭
2026-08-18 21:28:59
0
To see more videos from user @fadhilomarydai69, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About