@rashid.swaleh1: #creatorsearchinsights #daawah #marriage #islamic #muslimtiktok🤲🤲🕋🕋🕌🕌

Rashid Swaleh
Rashid Swaleh
Open In TikTok:
Region: KE
Tuesday 18 August 2026 18:45:58 GMT
41377
1822
46
401

Music

Download

Comments

sa_mayrah
itsjaz :
wallahy mkituona wanawake tumefikia huk,wallah hawa waume zetu wanayotufanyia Allah ndo anajua, mke hawez omba talaka km anapendwa ,Ana aman na furaha ,Allah atupe subra tu🥺🥺
2026-08-20 15:12:29
25
bosingwa353
MUNIR AHMED :
kweli kabisa basi waambilika
2026-08-19 18:10:05
3
abusamira2
abu samira :
Assalam aleikum na mke ambaye hujifanya yeye ndio kusema kwa nyumba ama yeye ndio kinara na ulikua wamuangalia vizuri ukiwa na kazi umefutwa huna kazi sasa akudharau.ss huyu mke hua niwa aina gani?
2026-09-07 00:33:05
3
sfabh
SFABH :
Na kwanini munaona wanawake ndio tatizo. kwahio wanawake tu ndio wana matatizo? wanaume nyinyi hamukosei..jamani uislam umemtukuza mwanamke wa kiislam sanaaa. Tatizo munahusisha tamaduni ktk ndoa na sio kufuata dini ndio mana ndoa nyingi zinakosa muelekeo.
2026-08-24 04:12:30
5
biubwabiubwa327
Daubah hennah&makeup fashion :
Allah atusaidie katika haya maisha yandowa
2026-08-20 06:13:22
5
aishahussein4547
Aishahussein :
naweza kuku dm?
2026-10-05 07:22:29
0
uncle.uncle998
Uncle Uncle :
Shukran
2026-08-22 05:26:59
1
user67085165041563
OMAR KHATIB :
MASHA ALWAH
2026-08-20 14:49:19
1
user2946159777784
user2946159777784 :
mashallah
2026-08-21 18:58:02
1
abuushaimaah
Abu shaimaa :
barka allahu fiika yaa akhy
2026-08-31 08:08:10
1
user2803561373530
babu :
💯hayo ndio maneno yao
2026-08-21 06:03:45
2
miraji12344
hassan112 :
tunao shekhe
2026-09-15 19:08:45
0
mwanamji_166
Mwanamji. :
SubhanaAllah
2026-08-20 14:51:22
1
mansourwardat
Wardat mansour :
Mungunatusamehe
2026-08-20 10:29:46
2
shekhan303
Hishaam :
2026-08-19 08:22:38
2
rayansaldivar
ramonah :
sasa mwanaume ndo ikiwa na izo sifa iyo imekaa aje kimfano
2026-09-02 06:34:01
1
sfabh
SFABH :
Wanaume ishini na wanawake km alivoishi mtume na wke zake. Mulipoozeshwa kilichotangulia sio mapenz mumeambiwa mutuhurumie. Mwanamke hana tabu ikiwa utaishi nae kwa wema. Lkn ukimdhulumu ndio anakua shetan
2026-08-24 04:09:48
2
hawa75h
hawah :
haya yote umesema wanaume wa zama hizi wanayafanya hivi hawa tuishi vipi na wao juu ya haya wanatudhulumu,hata na kutuua
2026-08-20 12:04:02
1
user4186177245948
user4186177245948 :
sisemi kitu katika hilo wallah niseme tu nyie wanaume mna moto wenu mbinguni baadhi yenu
2026-08-20 19:09:29
3
mbaraksalim7
mbarak :
karibu wote wanawake wa siku hizi wanao sifa hizo ulizotaja.
2026-08-21 08:46:17
1
osie1578
zak :
👍👍👍
2026-08-25 04:30:39
1
faryoperator
Fary Operator :
@
2026-08-22 11:44:43
0
nyangemsemakweli
nyange :
[Big LOL][Big LOL][Big LOL]
2026-10-05 16:57:46
0
To see more videos from user @rashid.swaleh1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About