Uyu mbaba wangu nazani ana mbegu za kiume tu jaman mbinu zote nimetumia lakin wapi?
2026-08-19 02:34:00
8
nurse-wa-zamu :
kidume pls
2026-08-18 19:44:55
0
📌 :
Shariti la pili gumu dokta Jessy hata kama sijaolewa 😁😁
2026-08-18 19:01:29
10
Grace :
Mimi dume 4 kabisa na 9 weeks pregnant Mungu saidia awe kike 😂😂😂😂😂
2026-08-18 21:45:34
5
Noela Pascal :
wa kiume please
2026-08-18 19:27:50
4
Jesse :
Doctor nifanyaje nipate mapacha
2026-08-18 20:37:23
8
vayoo1912 :
Nashukuru kuna sehemu nilifuma hili somo nikasema first born awe mkaka wooh nilipata jmn...👌🏾👌🏾
2026-08-18 19:28:55
19
sherry :
nahisi za mume wangu za y ndo zinaishi siku nyingi😂
2026-08-18 20:24:07
1
Queen Kapinga :
jmn kwani yai linashukaga siku gn mbna mm uwa sjui jmn 😂😂😂
2026-08-18 19:56:23
1
Bahati Vergenia :
Ivi mtu akiwa bado na ujauzito unajuwaje kama una mtoto wa kike yaani sehemu anayo egemeya zaidi ni upande gani?
2026-08-18 22:18:20
0
dajulienne3 :
Sina kitumaini kama uta nijibu but I’m just writing maybe una weza ni jibu . Naitaji mapasaw jamani nifanye aje? Ila sitaki kutumiya dawa yeyote Nipe jiya kama izo unazo sema tu
2026-08-18 23:22:04
0
princess 🥰 :
kumbeee ndomana sijazaa wa kike nina wa 3 madume kumbee nafika kilelen miee uwiii 😂😂😂😂