@kilimanjaro_live: Inasemekana zamani hapo kulikua na Boma kumbwa kwaajili ya ngombe waliokua wakisafirishwa kutoka maeneo mbalimbali so hapo ilikua kama kituo, NB Hadi Sasa Hilo boma Bado lipo sema liko katika Hali mbaya sana kutokana na kutokufanyiwa marekebisho Kwa muda mrefu
Hata mnipe milioni gapi sitaridia kuenda kuishii Boma 🥺🥺
2026-08-19 13:26:03
3
bby dollar 💵 :
nimeona njia ya sanya juu nimepamic hm sana 🥰🥰
2026-08-19 12:31:24
14
Naitwa Chilipo :
Nimelikumbuka Lile Li Chupa La COCACOLA lilikua hapa Njia Ya kwenda Sanya.. Hivi Bado lipogo.?😁
2026-08-21 18:31:57
9
Enzo..47 :
wanangu wa boma tujuane
2026-08-19 19:14:22
15
B&G spare part :
mji unao kua kwa spead sana
2026-08-19 07:12:39
11
Cyrus kimei 2210 :
Ni vigumu sana kuishi Mbali na Nyumbani 🥹💔
2026-08-19 11:46:23
15
iam_roms :
Home 🔥
2026-08-19 09:00:58
2
SHAZZY COLLECTION🛍️ :
Leo Nimeona nyumban it's been a while..🙌🏻
2026-08-19 11:17:47
4
lupela :
my safe place
2026-08-19 06:41:27
3
Emiliana 🇹🇿🇰🇪🇯🇵 :
mnanichanganya na hii nyimbo ilikuaga inapigwa small small bar kipind hicho nipo darasa la 4 ndo imebamba daaah😳😳🥺
2026-08-31 10:20:27
2
Happywinner :
homee
2026-08-19 07:51:47
3
TAMADUNI💯 :
nime pamiss kiriwe
2026-08-19 17:42:15
0
Chazkweka :
😂😂😂 Panone now garden imenawir
2026-08-24 20:52:05
2
Monster :
wanangu wa fuka
2026-08-20 02:21:31
4
@gud maah o.g- e.b.x♥️ :
mjini kwetu mahome kwetu maeneo yetu ya kujidai... apo la stand ya sanya veepee mko rada wakuu🔥
2026-08-21 12:55:22
2
Christofa Silayo :
kitaan kwangu
2026-08-19 09:17:22
0
mamy twins :
home
2026-08-19 16:51:52
1
Naitwa Chilipo :
kama mmegundua, Comments nyingi ni za Watu tuliotokea Sanya Juu😁💪
2026-08-21 18:35:38
4
Isaac :
Miaka ya katikati ya 1990 kulikuwa na kampeni inaitwa Boma Kumekucha iliyokuwa ikihamasisha watu kuhamia. Plots (siyo viwanja) vilikuwa vinauzwa bei ndogo sana, nadhani kama laki 2 tu. Watu wengi wa milimani hawakupenda kununua maana waliona ni eneo kame na halifai kuishi.
2026-08-19 11:40:44
4
happy ♥️ :
ndio najuwa mimi
2026-08-18 19:03:40
1
Girl of God Motors :
sahvi nenda soweto jamani
2026-08-18 20:01:47
3
FVS Tanzania :
yan ilo boma lipo jiran yetu kabisa magadin
2026-08-21 07:29:25
1
Sara Mushi :
ma home😍
2026-08-19 11:53:48
1
nurudiniswai :
Home boy
2026-08-19 03:41:05
2
happy ♥️ :
kulikuwa ni mnada wa kuuzia ngombe zamani sanaaaa😂😂😂
2026-08-18 19:04:12
3
To see more videos from user @kilimanjaro_live, please go to the Tikwm
homepage.