@km.consulting: Tanzania imepanua upatikanaji wa soko lake la dhamana za Serikali kwa wawekezaji wasio wakazi, ambao sasa wanaweza kuwekeza katika Treasury Bills na Government Bonds kwa kuzingatia sheria na taratibu husika. Tanzania has just widened access to its Government securities market for non-resident investors, who can now invest in Treasury Bills and Government Bonds, subject to the applicable rules. #legal #sheria #foreigninvestor #investor #tanzania