@iringadreadlock: FUNDI KICHWA SINAGA KAZI MBOVU 🤗👌location-kihesa Mwang’ingo Njia ya kushuka ngome #0659124081 #iringadreadlock #iringatown #dreads #viral

iringadreadlock
iringadreadlock
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 18 August 2026 19:40:04 GMT
88829
3137
411
164

Music

Download

Comments

alisiouskeys2011
Alisiouskeys❤️ :
Team dreads mpo wapi? Embu like hapa tujuane
2026-08-19 10:23:13
301
kittykitten287
Meow😹 :
kumbe Kuna steaming
2026-08-19 08:47:45
24
266tripartite2
Ms🥰 :
Team dread natural like hapa🥰🥰
2026-08-20 11:49:39
20
momadriellah
MomAdriellah :
since 2018 nmekua na dread haijui stimming inaoshwaga kwa mwezi mara moja na kurepea kazi yngu asubui nikiwa naenda job nikuspray maji na kupaka mafuta ya nazi bas ni ndefu na nene vipiii😁😁
2026-08-19 19:04:14
11
tukamanyatemamate
mary handsome :
Nakaaga hata miezi mitatu minne stiming sikumbuki lini nilifanya mala ya mwisho. daah nina miti na sio mjenzi🤣🤣
2026-08-19 07:30:16
7
quin26312
Quin :
Me sijawah fanya iyo steaming miaka 5 sikujua kama ata kuna kufanya ivo😂
2026-08-19 13:17:35
5
dangte.mkunde
Dangte Mkunde :
Naomba uniambie aina ya steaming niko dodoma
2026-08-19 09:39:57
4
chik.u_
chik.u_ :
Steaming wapi bwana, ukiwa na dread acha kurepair mara kwa mara inafanya zinakua nyembamba, epuka style za kubana sana. Hii repair kila wiki mbili unaharibu nywele. Tia nywele maji basi.
2026-08-20 04:10:17
4
mwamengo_m
Martha :
ninamiezi miwili sijarepea nlipo mimi changamoto sana watengenezaji hawapo🥺
2026-08-19 10:49:53
4
neema2281
NEEMA :
kwa sisi ambao tunaanza. na kupiga sindano je
2026-08-19 11:41:12
4
facetmuddy
facetmuddy :
Niko hapa na miezi 5 sijaripea😂😂
2026-08-19 09:32:14
3
msseiyacarol
Carol ♉ :
Nina mda sana sijafanya steaming
2026-08-19 09:06:34
3
angel.healthtips
Angelrobert :
mimi nina Dread ndefu na steaming sijafanya mwaka shampoo natumia Jojoba shampoo lakini natumia Marine Collagen
2026-08-19 11:43:04
3
malickmammy
mammy malick :
hii yangu haijui saloon sijui malatatu kwa mwezi wala stiming yaani mungu ndiio anaijua hali yake hata nyie mnaona
2026-08-20 11:18:06
3
basilisagao
Basilisa Gao :
[Photo] nina miaka kumi sijawahi kufanya steming 😁
2026-08-19 18:47:15
3
itsney_6516
officialney6516🦋 :
naomba usharudi kuhusu hii
2026-08-19 18:46:32
3
dorismlowe3
doris mlowe :
nna miaka 10 niliwah kufanya steming mala moja tu😅
2026-08-19 14:47:16
3
sashafashion5
SASHA FASHION STOTE :
unapatikana wapi kaka maana sisi wengine urembo wetu kichwani
2026-08-19 06:54:15
3
elizabeth.lasway8
Elizabeth Lasway :
naomba kuiyona hiyo stimini mana siijui
2026-08-19 11:35:33
2
sweetpain369
why me💔? :
sijawah kufanya stiming kiukwel miaka 4 ss
2026-08-19 11:21:54
2
muu_tattoo_genius
MUU TATTOOS🇹🇿 :
Haijui stemming wala haijui mafuta yoyote na ina miezi 8 🔥🔥🔥
2026-08-19 22:30:49
2
btryb1
BTryB :
kumbe kuna steaming ya dread naombeni jina
2026-08-21 08:42:28
2
irene.frank58
I love darling💕💕💕 :
🥰🥰🥰
2026-08-20 05:36:26
2
grace.nord
Grace Nord :
watu wa dreadlocks mko wapi 😊
2026-08-21 06:12:45
2
betoswifey1
albert wife❤️ :
tunajivunia wew ata kama matunzo hatuzingatii saan jmn🥰🥰🥰
2026-08-18 20:08:06
2
To see more videos from user @iringadreadlock, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About