Mimi hata sijisumbui mana najua izo nafasi wanapeana kwa kujuana hao
2026-09-10 10:21:20
8
Ishaa❤️❤️ :
Mm napenda jeshi ila umri umenikata😭
2026-09-09 14:36:01
4
painc💕🦋 :
hatutaki😂😂🤣🤣🤣achen tuwe mawinga tuu😂😂
2026-08-29 13:36:45
21
ypnation💍 :
saivi ukwer ni kwamba watu awataki kuwa wanajeshi wa jeshi lolote mkubali,mkatae😊😊😊
2026-08-29 08:10:42
31
Ajay David 089 :
apo kweny akili sas me sijuh kama ninazo
2026-09-08 20:34:48
2
MTEMBEZI🇹🇿 :
hatuna milioni 6
2026-08-19 07:40:58
8
𝐎𝐩𝐞𝐫 :
Mi nikajua Msiba
2026-09-09 03:09:12
0
soon canal :
milioni sitaaa 😂😂😂
2026-08-29 06:49:27
4
Jakande Powerlley :
nipo kamanda yenu hapa nalinda
2026-09-09 15:41:40
2
George :
sawa tusokua nakazi tuchangamke
2026-09-09 10:25:20
1
Godlove :
HII TAARIFA YA LIN
2026-08-21 13:41:34
4
卢卡斯 :
Tangazo sio rasmi na sio la hivi karibuni
2026-08-19 16:56:26
9
Ahash Junior 🎧🎤 :
hizi ndo taarifa tunazo zitaka so misiba
2026-09-07 18:42:00
6
brian2002 :
HII NI YA APRIL MWEZ WA NNE!!!!!! MSIKURUPUKE
2026-08-20 19:41:01
7
kahwa123 :
ni ushauri tuu kwako kiongozi kwani msiwaajiri kwanza wale waliokosa nafasi kwa vipindi vilivyo pita wakaisha wote alafu ndo mkatangaza nafasi zingine au nifasheni kufanya ivyo kila mwaka??
2026-08-19 10:50:06
16
Pasco G Pool :
KWANI APRIL 2026 NI LINI ?🤔
2026-09-02 16:07:24
1
mnipa :
mm sina connection hainihusu
2026-08-30 19:51:57
1
SABAYA LUXURYREAL :
jeshi mmepoteza mvuto
2026-09-01 12:02:22
1
EDWARD MAKULA :
siyo kwamba zimejaa
2026-09-08 10:06:01
1
To see more videos from user @mwakalinga3, please go to the Tikwm
homepage.