@neemagospelchoir: Mungu akubariki sana #paulclement🇹🇿 kwa utunzi mzuri wa wimbo huu! Mungu aendelee kukupa kibali! Experience Mema Medley, Tanzanian 🇹🇿 & Nigerian 🇳🇬 music flavor, recorded live during our 34th Anniversary Thanksgiving Celebration #GRATEFUL on 12 June 2026 at AICT Chang’ombe, Dar es Salaam, Tanzania. This powerful medley brings together songs of thanksgiving, praise, and worship from different gospel artists and songwriters. Through every song, we celebrate the goodness, faithfulness, and mighty works of God. Leader: Noel Nobert Band: The Expendables (Neema Gospel Choir Music Band) Production: Victorious Production 🇹🇿
Neema Gospel Choir
Region: TZ
Tuesday 18 August 2026 20:20:13 GMT
Music
Download
Comments
vick Mwamba :
ooh, God🙌
2026-08-20 10:56:08
0
🌹nono billy :
The day I won’t forget 🔥 The song 🎵 The Presence of GOD 🔥 may the Lord protect you every day🙏🙏
2026-08-19 06:50:50
2
lucymasima :
Nawapenda mpaka shetani anaona wivu kutoka kwenye uvungu wa moyo wangu sichoki nyimbo zenu kusikiliza🥰🥰🥰🥰
2026-08-18 21:05:23
4
Dee🫰 :
jmn mnakuja Moshi baada ya Arusha au tuwafate huko huko Arusha🥰🥰🥰
2026-08-18 20:32:07
1
GRACE AT WORK :
jina la wimbo please?
2026-08-19 02:02:18
0
God fear women💗❤️🩹💞💝 :
Sema huyu kaka ameimba jamani 🙌👍 kazi yako ni Njema sana Nilikuona katika Live yenu pale Leadears Keep it up kaka NEEMA YA MUNGU ISIKUPUNGUKIE DAIMA
2026-08-19 09:36:36
2
naomi :
God bless you 🙏🙏
2026-08-19 10:07:53
0
Lightness Mwende :
Thank you Gesus
2026-08-19 05:03:46
0
Donald Nanyaro :
Nawapenda❤️
2026-08-19 17:30:57
0
imanifesto💕 :
nawapenda sana jmniiiiiiii
2026-08-20 09:29:17
0
Min.Jottah. :
Nimeusikiliza siku nzima bila kuchoka 😄hakika MUNGU awakumbuke kwa huduma mnafanya 🙏🙏.
2026-08-19 20:14:26
0
emmanuely john ally :
KWELI NI ASANTE MUNGU TU
2026-08-19 06:52:28
0
wity :
mnavyonibariki na nyimbo zenu Mungu pekee anajua ndan ya Moyo wangu ❤️Kuna maumivu ndan ya Moyo wangu lakin nikisikia nyimbo za Neema gospel napona 😢😢😢😢🙌🙌🙌Mungu awatunze sana
2026-08-19 08:10:51
0
Kaka_Mpishi_Catering and Event :
Asantee yesuu🙏🙏🙏🙏
2026-08-18 21:23:21
0
Lingardnr :
Kwaya ya Taifa
2026-08-19 03:31:07
1
Ir Henoch solomo :
neema gospel que Dieu vous bénisse abondamment pour c merveilleux travail et des bonnes chansons qui nous édifie
2026-08-20 19:29:13
0
Witness :
ooooooh Hata sasa wewe ni Ebenezer 🙏
2026-08-19 01:03:28
0
DimerLks3 :
Parole s’il vous plaît, la chanson me béni
2026-08-20 06:04:39
0
wegge_ :
🔥🔥🔥
2026-08-18 20:25:30
1
Abigael Marco :
🥰🥰🥰
2026-08-18 20:28:01
0
Irene 🥰 :
🥰🥰🥰
2026-08-18 20:28:05
0
subby dr😘♥️ :
❤️❤️
2026-08-19 12:25:36
0
To see more videos from user @neemagospelchoir, please go to the Tikwm
homepage.