@shaaban_b.omar: TUSICHOKE KUWAELIMISHA #islamtiktok #waislamunawakristo #koran #biblia #waislamutanzania

Baba Haleema
Baba Haleema
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 18 August 2026 20:23:19 GMT
8794
551
32
113

Music

Download

Comments

user460133571374
Injinia :
kuruani ni nyingi zaidi ya 10
2026-09-11 15:29:40
0
fatmhknda
fatmhknda :
mashallah
2026-08-20 20:36:14
0
maalikhna.mohd
MAALIKHNA MOHD :
mashallah Allah akupe umri mrefu uzidi kutunufaisha na uzidi kueka sawa upotoshaji wa watu wa aina hii
2026-08-19 04:52:10
2
paivokhan_boy
Paivo Khan :
Samahan kwa swali Langu Naamini Kua Mungu yupo Na Anaona Tunavyofanya hata hapa navyoandika unumbe huu anatambua kua na hofu sasa nije kwenye swali narudia tena mungu anisamehe kama namkosea ni hivi je? Miungu Ilikua mingi na wakampigia kura mmoja ili Kuongoza ulimwengu wote duniani na sayali zote hizi tunazosikia wapo ma alien au mungu ni mmoja tu na ilikuaje akawa yeye nataka kuelewa shekh
2026-08-20 08:56:12
1
chakawamusa
CHAKA WA MUSA :
DAAAH Mwalimu wangu nimefuatilia jawabu toka dakika ya kwanza bahati nzuri ni mwanafunzi wa Masters level ila hadi sasa sijasikia umejibu nini katika swali nililouliza
2026-08-19 20:08:00
0
hajiibarahim12
Kk :
Masha Allah
2026-08-29 06:12:54
0
famousdefam
famousdefame :
Mashaallah
2026-08-19 06:05:17
1
aliguide2026
Ali Tour Guide Zanzaibar :
mashallah mashallah mashallah tunakuelewa na wanakuelewa ila pesa ndio zinawatia wehu
2026-08-19 15:50:18
1
thanian010
abdallah25455 :
Baraka llahu fik wa jazakaAllahu kheyr
2026-08-19 00:34:42
1
yassinadamshamte
kasuku :
pia suratil waqia.... imeitwa kitabun maknuun...
2026-08-20 03:29:03
0
kifaranga9090
Kifaranga :
ALLAH AKUPE UMRI MREFU UZIDI KUELIMISHA WENGINE
2026-08-20 07:00:43
0
amadykizignho
Hemed janja :
mashallah
2026-08-22 05:18:47
0
rehema.shayo06
Rehema shayo :
Ukristo ni dini ya kweli
2026-08-20 16:35:04
0
ashurayadunia
u llow :
mashaallah
2026-09-07 10:38:15
0
yusufnoor729
yusufnoor729 :
Amani ya Mungu gani anamaanisha baba mwana roho mtktf 😁
2026-09-13 08:20:32
0
mligogodfrey
Man from the moon :
Mi msikilizaji🙌
2026-08-18 20:51:33
0
salamahassanamir
asaam :
MashaAllah unaeleweka na kufahamika vizuri
2026-08-19 18:53:16
0
user4816174525973
Amour deco :
mashallah
2026-08-20 17:27:47
0
busrasaid
Busra Said :
Watafahamu tu inshaallah mimi nimekufahamu vizuri sheikh wangu
2026-08-18 21:10:27
0
binamu.mkubwa
BINAMU MKUBWA :
👍👍👍
2026-09-14 17:31:42
0
masoudnzowa3
masoud nzowa :
Mwalim baba haleema marshallah
2026-08-19 04:00:41
0
asya.ally4
Asya Ally :
MashaAllah
2026-08-19 13:05:48
0
nishababy1900
nishababy :
ameeen yarab
2026-08-19 10:19:52
0
user8175461516036
hassan :
allh
2026-08-19 06:14:21
0
dee.mack54
Dee mack :
huyu ushamjibu post zilizopita ama hajaelewa bado
2026-08-20 16:52:04
0
To see more videos from user @shaaban_b.omar, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About