@streetjournalisti: Unashuka au unabaki na Mchungaji 😑🙌

Adili Costantino
Adili Costantino
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 18 August 2026 20:32:15 GMT
29615
2832
180
31

Music

Download

Comments

herbertmsangawale
Herbert Msangawale :
sishukiiiiii
2026-08-20 06:54:41
0
lucasjoaquim2571
pequeno khillaka :
nitashuka brother
2026-08-19 03:37:31
1
zaympore8
it's zay@ :
weeee nashuka mim.🤣🤣🤣
2026-08-19 08:11:01
0
davidsuddy
DPS_tz :
Mithali 3:5-6 — Mtumaini BWANA kwa moyo wako wote, wala usizitegemee akili zako mwenyewe. Katika njia zako zote mkiri yeye, naye atayanyosha mapito yako.
2026-08-19 10:05:22
13
user878192070930
isackmasha :
ukiwa umeokoka hautashuka
2026-08-18 21:25:55
11
mawende0
mawende :
kwan dereva yeye anasemaje
2026-08-19 02:58:24
16
user187260214715194
Philimon🌺 :
Nashuka namganga maana kapewa uwezo namungu pia
2026-08-18 20:48:25
15
simba_fans.tz
Msimbazi Fans 🩸 :
sitashuk namganga ila tu nitaita boda
2026-08-19 10:47:22
5
ayoubeliah1
🇯 🇴 🇪 :
majibu ya chatGpt🤣😂🙌🏾 Mimi ningeshuka kwanza kabisa 🤣🤣. Sio kwamba namuamini mganga kuliko mchungaji, bali kama kuna mtu amesema anaona hatari mbele, siwezi kubaki kwenye gari kwa sababu tu mtu mwingine amesema hakuna hatari. Ningemwambia dereva: “Boss, simamisha gari wote tushuke kidogo, tukathibitishe.” 😂 Maana mchungaji akisema hakuna ajali, mganga akisema kuna ajali—mimi sitaki kuwa referee wa utabiri wao nikiwa ndani ya gari 😭😂😂.
2026-08-19 06:18:00
4
memesfunny680
Memes and funny :
dereva amechukua uamuzi gani?? amesimama au anaendaa??
2026-08-19 06:34:37
4
kahama.ibrah
Ibrah Kahama Photography🇹🇿🌍 :
kabla hata mganga haja shuka mi nipo chini 😂😂😂😂🙌
2026-08-19 08:24:20
2
mm.juma
MM juma :
mm ntabaki na dereva kwan yeye agenda au kashuka na yeye
2026-08-19 07:32:28
2
jane.mwasanguti
Nipher🩵 :
😂😂😂😂😂 nashuka kuchimba dawa
2026-08-18 20:43:11
5
kigobilionea
kigobilionea :
nashuka na mganga
2026-08-18 20:49:18
2
balozi493
Balozi :
ningeshuka na mganga😂😂
2026-08-18 20:44:23
3
mugagagigikoko
OFSIR :
mi na mganga one love
2026-08-18 21:13:06
3
user3579912316094
kalendelo andrew :
siwez kufa kzembe
2026-08-18 20:52:18
2
mr.nobody92797
mr nobody :
nibaki kwnyegali me nanniiii apo lzma niache ndala🤣🤣
2026-08-19 05:13:43
1
wamereshpa3z
Meresh Pa3z :
naenda na driver
2026-08-19 05:20:43
1
cmnenuka0
cmnenuka :
naenda na mchungaji
2026-08-19 04:40:17
1
mkwamamkwama30
Mkwamamkwama :
Nabakiiiiiiii🥰🥰🥰
2026-08-18 21:03:24
1
yasinta.mbuji
Yasinta Mbuji :
Nakusalimia tuu jirani yake Yasinta 😂
2026-08-18 20:50:25
3
user5129859461983
Herman j...🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 :
kama yesu unamwamini kuwa bwana na mwokozi wa maisha yako huwezi ukaogopa hata kidogo
2026-08-19 04:54:34
1
mr.hope33
Mr hope :
Ninge toa jibu. Ila. Wengine sis waislam. Hatuhusiki. N swali lako.
2026-08-19 05:09:19
1
To see more videos from user @streetjournalisti, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About