Mimi wangu cjui Kam akifa nitalia jmn nisiwe mnafki kabisaaaaa..🤣🤣
2026-08-19 17:28:50
16
🔏IT’S LIONESS 🦁 ❤️ :
Me tangu 2012 nina miaka 9 na simkumbuki vzr😭😭😭😭😭sina ata picha na alikuwa ananipenda balaaa na ndio alinipa jina PRECIOUS bcoz Ndo last born wake
2026-08-19 11:40:42
18
Lizzy🌹🌹🌹🥀 :
Wengine hatujawah kulelewa na baba zetu walishatukataaa mda sana watoto wa single mother for real sometimes unamiss upendowake wallah😌
2026-08-19 12:00:56
73
jojina🌸 :
Mwanangu asije kosa baba kama mm😭
2026-08-19 09:05:29
42
mother captain#tz😋 :
sasa wengine walitukimbia tukiwa tumboni tumelelewa na single mother 🥺😔🥺
2026-08-19 18:02:21
9
najmasaidi511♊ :
2022 baba angu alienda aiseee😭😭😭
2026-08-20 13:38:28
0
CHUGA WA KARIAKOO SHOES 👟🇹🇿 :
😢😢😭😭pole mom mim baba yako kuanzia leo
2026-08-20 17:54:21
2
🥵👅💦💍 :
na kuna mm yuko hai but hanipigii simu😪
2026-08-19 18:00:56
1
@sedah758 :
Without him Since 2008💔
2026-08-20 11:40:13
1
绍旭文 :
pole kpnz chang usihuzunike bado yupo na ww na anapenda uwe na mafanikio makubwa jap katangulia ila anafurahia Kila atua ya mafanikio unayopata na yy anafurah uko alipo
2026-08-20 18:36:13
1
user9135228305874 :
Pole baby
2026-08-19 12:38:51
0
naymah💦🌸❤️ :
Leo nisiku ya 20 simuoni baba yangu💔😓kuna muda naisi Kama ameenda safari atarudi😭😭😭
2026-08-20 13:33:35
0
Esther💕💫 :
ata sauti yake sikumbuki
2026-08-20 17:17:00
0
TARIQ :
kikumbw dua 1😭😭😭😭😭
2026-08-24 14:33:32
0
~it's mollyce💎 :
njoo tupendane
2026-08-21 11:56:12
0
lizzy Gabz🥰🩷🦁 :
💔waheshimuni😳🥺😭
2026-08-19 17:31:12
1
lighty :
Yaan
2026-08-19 11:12:40
0
🖤... :
😥
2026-08-19 09:17:36
0
rukaiyahruu :
Allah awajaalie baba zetu pepo ya juu zaid awaondoshee Adhabu za kabur ajaalie tukutane nao peponi inshaallah kwa huruma yake Allah
2026-08-21 13:04:49
2
Sarah Akimu :
Nakupenda sana baba yangu kipenzi Mungu akutunze niko mbali na wew ila moyoni mwangu upo kalib na mimi
2026-08-21 04:57:23
1
ِسْمَةُ هَاتُون :
Yarrab mpe umri mrefu baba nampenda sana Ndy mwanaume pekee anainipenda hata kma na madhaifu
2026-08-20 18:54:40
3
s $💸🌹 :
nina baba lakini hataki ata ni mu zongeleye na me sema nimimi nime mu uwa muke wake kwa sababu mama alikufa wakati anani zaaa💔😢😭 kila akini ona ana ni ita mu uwaji ina uma sana na ichi mweyewe sina mutongo wala mukubwa 💔😢😭😭😭 maman kani acha mupweke sana 😭💔😭😢😢💔💔💔💔💔
2026-08-20 21:41:14
1
Husna❣️❣️♥️ :
😭😭 nimjiktaa naliaaaa
2026-08-19 11:59:21
0
mama kijacho🫃 :
2011 nikiwa na 9 miaka
baba alikua ananibeba shingoni jioni ananizungusha mtaani ndio alinilea mimi nimesha kubari ila kunasiku najifungia nalia uchungu hauishi😭😭
2026-08-20 14:23:49
0
Nisha :
MUNGU atujalie waume wenye upendo wa dhati na huruma na sisi
2026-08-21 10:45:42
0
To see more videos from user @mwadaahchun, please go to the Tikwm
homepage.