@ali_wisdom: Nilikuwa nasubiri hata neno moja tu kutoka kwako neno ambalo lingerudisha moyo wangu na kunifanya nihisi kuwa bado unanijali, unanithamini, na kwamba kuna sababu ya kuendelea kubaki. Lakini kimya chako kilisema mengi kuliko maneno yoyote ambayo ningeweza kusikia. Wakati mwingine, si kuachwa kunakouma… bali kugundua kwamba unalilia kitu ambacho mwenzio hata hakihitaji tena. 💔🥀 #creatorsearchinsights #viralvideo #foryou
Napitia magumu nataman nipate wa kuzungumza nae tu nimuelezee matatzo aniskilize anishauri😭😭😭najiona mjinga sana nina maumivu moyoni sijui chakufanya yarraby 💔💔
2026-08-19 06:11:21
14
Zaituni Ramadhan :
tunaopitia magumu ndo tunaelewa maumivu haya kama mtu hapitii magum ukimuelezea ataona mtu unapenda kulalamika mwengine atakuona chizi mungu tupe subla na atufungulie liziki nyengine
2026-08-24 10:02:36
4
Abou Ozil ✔️ :
inauma ulimpenda Cn AF kumbe ulikuwa msumbufu tuh unalazimisha mapenzi ❤️🩹🕊️
2026-08-18 21:26:34
6
masikajuma1 :
nimepona
2026-08-19 17:27:59
4
shaa🥰mumy :
Nimekubali kuendelea na safari💔 bila ww inshaallah mola 🤲ataleta wepesi....
2026-08-20 05:54:09
4
kinana :
swadakta,inauma sanna lakini maisha lazima yaendelee
2026-08-18 20:50:45
3
therealmusab_ :
Wallah inauma Lkn ndo huwezi kumforce abakie 🥺😭
2026-08-18 20:52:02
3
Rashid Al annabhaniy :
😄❤💖 inshaallah utapata furaha tuu baada yahayo yoote maana baada ya dhiki nifaraja usichoke mamy
2026-08-22 05:47:12
1
ţŭmåmÿ🦋 :
huu ujume umenifanya nilie wallah 😢
2026-08-19 07:28:18
2
Naah_Makeup Tz :
Yasikie tu
2026-08-18 20:58:18
2
husnaasembeka037 :
💔💔💔🥺
2026-08-20 05:33:02
1
Nanar Jb :
💔💔💔
2026-08-25 22:21:02
0
To see more videos from user @ali_wisdom, please go to the Tikwm
homepage.