@nurudinikishk:

nurudinikishk
nurudinikishk
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 18 August 2026 21:06:13 GMT
8094
294
34
18

Music

Download

Comments

user1803928341128
AlJadeed :
kwani kwenye Maulidi Quraan seera sifa na swala za Mtume hizo sio katika dini hakuna bidaa hata huu mjadala ni bidaa haufai.
2026-08-19 07:07:43
2
user2207845425145
master :
unaporeza watu
2026-08-18 23:23:48
0
hamdaname
hamdan :
Nyinyi munasema kila bidaa ni upotevu lakini vigawanyo vya Tawhid, mashindani ya Quran nk. hamukubali kua ni bidaa au vp
2026-08-24 12:57:27
0
user6351726558670
abubakarhussein :
Mpaka mkome mawahabi
2026-08-21 19:30:26
0
user6371381790546
user6371381790546 :
nibidaa
2026-08-19 06:26:42
0
salmin.ikram
Salmin Ikram :
sheikh wajtahid sana
2026-08-20 10:46:21
0
duniahamisi709
THE LIGHT :
kamuulize mtume mwenyewe kwanini hakusema kullu bidai
2026-08-24 19:34:00
0
maulidshaban271
الحبيب الصالح جمل الليل :
wahab nimgum sana kuelewa jamn
2026-08-19 16:16:42
3
suheylally
suheyl og :
dah! mbona nika pitwa roho ina niuma sana
2026-08-19 06:32:38
1
kuseka02
kuseka :
huu mjadala ni hatari sasa mimi leo tumalizane atakuwa na hoja zake tafsiri hadithi moja unayotaka mimi sitaki tushike hadithi nyingi nataka hiyo itakayokupa hoja wewe moja tu itakayokuwa ina hoja ya kukukataza sisi mau
2026-08-19 19:08:41
0
danamjuma162
Danam :
silaha pekee ya mwenye kushindwa hua ni matusi
2026-08-20 05:48:50
0
sparky.matary
Sparky matary :
ati كل ni ya kulliya sheikh tafsiri iko wazi
2026-08-21 18:45:25
0
suleiman.mwabaloz
SULEIMAN MWABALOZI :
mmm
2026-08-19 18:35:04
0
abuumohamed749
AbuuMohamed :
maswahaba walifahamu vp hizo hadith tatu zinazokataza bidaa
2026-08-19 04:13:24
0
hamdaname
hamdan :
mashindani ya Quran yamethiniti kwa hadithi gani?
2026-08-24 12:55:03
0
mansourmtauni
Dr. Mtauni Mansour. :
Kwa kumbukumbu Zangu mjadala huu Upo Zaidi ya Miaka 25 Kwa Uchache Hatujapata Muwafaka Tunapoteza Mda mwingiii Wakufikiria Matatizo Tuliokuwanayo ya Kusongesha Dini Mbele. Misikiti, Madrasa, Mayatima, na Masikini, Baitulmari, Nk. Sijui Hawakwenda kuyasomea haya?!. na Mengine Utafiti, Uvumbuzi Uchumi Nk !!!
2026-08-19 07:55:40
1
abuumohamed749
AbuuMohamed :
maulidi ni bidaa
2026-08-19 04:11:45
0
user7762128755818
raguva :
yaan changamoto ya mawahabi ni kubwa sanaa kwenye kujua shida hata wakifundishwa hawataki kujua
2026-08-19 12:04:15
2
badawiy.media
Badawiy Media :
Wanapotezea Swali kweli kweli akiona Hajui anaruka 😂
2026-08-19 08:20:01
1
abdumuya
abdumuya :
sio kila kullu kulliya bhana wahab wamekimbia darasan😂
2026-08-19 14:35:18
0
abuu.shuraimu.jam
Abuu Jambia fundi nguo👗🇰🇪 :
juzi wame dungwa snaaaaaaaa🤣🤣🤣🤣
2026-08-19 12:25:38
0
khalifampya
KHALIFAMPYA :
yaani hapo kama hauna subira unapiga mtu ngumi maana unamuuliza alete hoja kielimu anagoma anaingiza misimamo
2026-08-21 20:57:50
0
aliy.mray
Aliy Mray :
hiyo hajui kulu huyo muhabiiii niungeni humooooo aone
2026-08-19 08:06:55
1
farid18075
فلد سعد مظل :
kila upotevo ni motoni😍😍 Aibu uta ona ww
2026-08-19 09:33:51
0
battabatani66
Batabatani :
watu wa tasawuf huwa hatupigagi kelele tutaonekana ni wapungufu wa elimu kabisaa hizi sio tabia zetu kubishana Sisi ni watu wa dhikri tuu na kuwajenga waumini katika kuwapa nuru ya elimu ya kiroho haya yanatupeleka kati njia ya sheitwan na sio kushikamana katika kamba moja ni mtihani
2026-08-23 19:48:43
0
To see more videos from user @nurudinikishk, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About