I have seen many people walking in pairs and they live together
2026-10-11 16:48:39
0
meme💘 :
haha hii ni uongo..police have no rights to take anyone phones without authority...hahaha
2026-08-18 23:10:19
26
cocoa kisses 👄 :
depends on what ur doing in public ....walking together isn't a crime
2026-08-19 05:14:03
29
fabio Rono :
simu is a personal property.alfazaa don't do that
2026-08-19 09:26:59
19
George maasai samburu :
Niko hapa qatar nimekuwa doha naona watu wako wawili wawili na police wako cjawai sikia mambo Kaa hiyo ...huyo alifanya kitu mbaya ndio maana alitumwa home
2026-08-19 02:13:03
65
jammy :
Mimi nataka kukemboi aki Niko id n passport pia nisaidie aki please
acha uongo tuko hii doha na tunatembea hadi saa nane usiku
2026-08-19 09:44:59
6
🌺🌸PRISCAH NDUNG'U🌺 :
Shida yenu n uongo kw hii app,ama tunakaaga dwanzi hivyo 🤷🏾♀️😂
2026-08-19 13:36:17
10
user3634676534863 :
Kwani naishi doha gani 😂😂😂
2026-08-19 06:37:30
6
nucho..62..chaplin 👌 :
me napiga kazi lekwiya NCC kama maintenance polisi hana ruhusa yakuingia kwa simu yako.nishafight nkiwa duty ndani ya lukwiya hyo iko al kheesa evidence ya kenye tulikua tunafight for ilikua kwa simu zetu what they did ni unawaonesha evidence simu ikiwa kwa mkono wako they dont invade personal staffs kwa simu ya mtu
2026-08-19 10:41:43
8
Sleeping Warrior :
Kuna makosa alifanya na hakuambii polisi huku hawakuangi petty ivo
2026-08-18 22:20:44
10
Catherine Olani :
sasa trizah
2026-09-26 18:07:05
0
Betty betty💥💥 :
huko beach ni two two
2026-09-22 11:20:58
2
Barista Vokez.. ☕ :
ama al mansoura sio qatar😂😂😂
2026-08-20 00:26:50
0
Tycoon 💸 the Don. 🚬 :
Sema uko single
2026-08-19 17:17:32
2
kiplaa :
hii mambo naskia tu apa
2026-08-20 02:30:50
1
fifi :
mijitu ya tiktok uongo mwingi ata
2026-08-19 17:43:20
2
🇰🇪CHEPTOO ♥️(mumjay)🇶🇦 :
😂😂sasa cwec tembea na bro wangu kwa amani
2026-08-20 05:32:50
3
CLINTSCOTTO2🤍 :
kwani Niko Qatar gani
2026-08-19 15:09:07
5
To see more videos from user @tridracelluyanje, please go to the Tikwm
homepage.