Kwanza nitakuwa nacheka mpaka ataacha uchawi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-08-19 10:19:30
115
alyma🌹🔐❤ :
wakwanza leo😂😂😂
2026-08-18 21:43:36
64
sonic-gee@ :
daaaaaah we jamaaaaa😂😂😂jau sana izo idea zako unazitoa wap kaka
2026-08-19 06:32:16
35
King Ally :
Dominic akiskia atacheka sana😂
2026-08-19 02:51:15
42
معلم العباسي 👳♀️(السقا) :
hahah nina jamaa yangu huyo hata angekua raisi ningeenda kukojoa nje ikulu na mswaki ningepigia ukumbini ... Tumetok mbali san , tunayajua maish yetu .. Tumesindikizan kuoa na hakuna alie serious mpka leo
2026-08-19 19:02:19
17
Miss~drama😎❤️🔥 :
😂 ila bashiru
2026-08-19 09:01:05
11
babe isher😘❤🔐 :
khalima ata awe zombie sitamuogopa😅😅😅
2026-08-19 02:09:13
13
rebaby :
nimecheka bhana ety haaaaaaaaaaa🤣🤣🤣🤣
2026-08-19 04:38:28
6
Muin Swahili News :
Ety eshimu kaz za watu 😂😂😂
2026-08-19 06:23:37
37
habiba madenge :
oyaa bashiru nn🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-19 08:33:16
4
GREGG..🔥🧢 :
Bashiru jau sanaa😂
2026-08-19 09:12:04
4
lissabellah actress :
ila wewe nachokaga Mimi nikikusikiliza
2026-08-18 21:51:13
22
chubby_me🍒🍓🍇 :
ogopa hata kidogo kaka😂😂
2026-08-19 11:03:54
17
mkali_eddy :
Bashir Kaonekana Leo 😅
2026-08-19 07:06:47
10
jayp :
dominic si anacheka muda wote
2026-08-19 14:56:20
8
💍mrs semaal og🥰💞💍💍 :
mm yaan nitachek km chizy
2026-08-19 13:02:40
5
Bilall Salum :
ety heshim kaz watu bas😁
2026-08-19 08:44:46
6
Hadija Ally :
hahahaha
2026-08-19 01:28:27
7
Iam_Rahma :
Mtu anachekesha hata atumii nguvuuu😂😂😂😂
2026-08-19 09:00:02
6
Ramoo nails💅 :
heshimu kazi za watu basii😂😂
2026-08-19 18:58:09
2
Aika 🥰🥰 :
heshimu kaz za watu😂😂😂😂😂
2026-08-21 21:55:26
1
eddiemwasha :
Heshim kaz za watu 😂
2026-08-19 12:29:14
2
Mandela :
ambo boee 😁😁😁😁😁
2026-08-18 21:51:29
5
pipi♐️❤️ :
@pretty madame
2026-08-18 22:55:11
3
To see more videos from user @sammgobo, please go to the Tikwm
homepage.