@kanikibrown: "WALINIULIZA KWANINI UNAMTETEA MAKAMU WA RAIS NA TUNDU LISSU?"‘Nina maumivu makali ya kuchapwa na kitu ambacho sina uhakika ni kitu gani’ - Wiki mbili zilizopita, kada wa CCM mkoani Tanga Kazungu Bakari Kazungu alivamiwa nyumbani kwake na watu waliogoma kujitambulisha. - Kazungu ameiambia BBC Swahili kwamba watu hao walimchukua kwa nguvu, wakamfunga pingu, kumpandisha kwenye gari, kumfunga kitambaa cheusi kichwani na kuzunguka nae kwa muda mrefu huku wakimuhoji na kumpiga kila mara alipotoa majibu wasiyoridhika nayo. Kuhusu tukio la kutekwa kwa Kazungu, Polisi Mkoa wa Tanga wamethibitisha kutokea, na kumuhoji Kazungu na kwamba uchunguzi wa kina wa tukio hilo unaendelea. Hata hivyo BBC pia ilimtafuta kiongozi wa polisi mkoani Tanga lakini hakupatikana na wala kujibu ujumbe. - Yafuatayo ni sehemu ya mazungumzo kati ya Kazungu na mwandishi wa BBC @sammyawami kwa njia ya simu. - - - 🔴Ukiwa na HABARI MPIGIE RIPOTA 0622732287 RIPOTA WA HABARI ZA MIKOANI ✍ @kaniki_brown #Ripotawahabarizamikoani #kanikibrown #WeweNiFamilia

Kaniki Brown
Kaniki Brown
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 18 August 2026 21:43:12 GMT
13166
260
14
8

Music

Download

Comments

fatma.chande.mato
Fatma Chande Matola :
😭😭😭😭😭Allah Allah Allah 😭😭😭
2026-08-19 07:13:53
0
doctor.doctor.tv
Doctor Doctor tv :
Ni CHADEMA HAO WAHAINI WAKUBWA TOKEA WAJE WAO NI UTEKAJI TU ILI WATU WAIFIKIRIE SERIKALI . TULIKUA NA KAFU HAPA WAPINZANI WAKUBWA LAKN HATUKUONA UTEKAJI LAKN TOKEA WAJE CHADEMA NI UTEKAJE KWENDA MBELE .
2026-08-19 00:59:46
1
fimbo773
""The Matthew Jr"" :
Tuache uchawa,hawa viongozi tumewachagua watuongoze hivyo inapoonekana wameenda ndivyo sivyo acha watu wawaseme na kama watakuwa na nia ya kujitetea tuwaache wajitetee wenyewe na wajisemee.Yaani kiongozi ana nguvu,analindwa na ana kila kitu,ila eti mtu kapuku kama mimi sina hata ulinzi wa mgambo ndo nisimame kumtetea!?.Tubadilike jamani ooh.....!!
2026-08-19 05:54:16
1
neemakavishe771
Neema Kavishe :
uyu mama Samia anatakiwa aondoke
2026-08-19 10:59:19
0
user9757558705663
peoples favourite :
hiyo ndio Tanzania
2026-08-19 07:23:02
0
marcobusumba
mwanza 💚 :
huyu hajatwekwa ni drama za CCM tu niminini mimi
2026-08-19 07:42:03
0
ibrah3266
ibrah :
utekwe ukae kwenye kiti unakichaa pole sana ndugu
2026-08-19 05:34:04
0
johelectromechanicstz
Joh Electromechanics Engineer :
Cirikali bakaji, filaj, tekaji uwaji na isiotaka watu waseme ukweli licha ya ku Wa na magereza, mahakama na sheria wanazo kwann wasiztumie hizo?? 😡😡
2026-08-18 23:16:58
2
mau.ame.19
Mau Ame :
wanajuana wenyewe kwa wenyewe hao
2026-08-19 07:32:08
0
salomepaulo4
salomepaulo615 :
😞😞😞
2026-08-19 06:59:20
0
user7985686335695
[email protected] :
🤣🤣🤣🤣
2026-08-19 11:43:35
0
To see more videos from user @kanikibrown, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About