@mudyblack_:

MUDYBLACK
MUDYBLACK
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 18 August 2026 21:55:01 GMT
1457346
133588
3847
2225

Music

Download

Comments

mikwiji
Í S M A I L :
yaani hayo mabishano yenu tu mm huku nishakojoa 🤣
2026-08-19 03:16:28
1271
isha42217
isha :
Si mfanye sasa mnabishana nn kweny sim yangu
2026-08-19 08:50:09
499
user33697735799776
Rose 🌹Mluguru 207 :
Wewe unayesoma comment yangu Mungu akupe maisha malefu wewe na family Yako 🙏🙏
2026-08-21 09:31:30
1230
amos_wamitego
Wamitego :
Natafuta mdada mwenye mimba twende clinic ili nipate net, mbu wataniua jamani 🥺😂
2026-08-20 15:17:10
415
kasymtakidum
kasymtakidum :
Walio dindisha kama mimi weka like zenu hapa.😅😅
2026-08-19 15:36:36
712
hassandunia777
HANS D 99 :
tunaotumia WIFI ya jjran tujuan
2026-08-19 06:43:46
1087
babe_eyes
Babe_Eyes :
Part two please jamani 😂
2026-08-24 14:43:45
0
user57838513843281
@kamilipeter473 :
part2 vp
2026-08-23 19:27:04
0
tiktok.comleah02
Leah bujune :
tunao tumia WIFI ya kazini tujuane
2026-08-19 09:52:51
904
user3177485790966
user3177485790966 lucylight :
mbn sarah😅😅😅😅
2026-08-24 21:59:58
0
user49971437558596
mudy chips 🥘🥘 :
mamb vp
2026-08-24 16:25:35
1
user7671769612444
user7671769612444 :
good Afternoon my famille
2026-08-24 11:21:43
0
mohamedsued718
Mohamed Sued :
mpeeeeee
2026-08-24 05:20:48
0
evamichael14
everine :
alie sikia kaka mwanzoni alafu baada ya kuja akawa shemeji tujuane 🤣🤣🤣
2026-08-23 22:45:27
76
fathia.saed
Fathia Saed :
kwaiyo sara ana kuzid nguvu uwezi kuutoa huo mkono apo 🤣🤣😂😂
2026-08-19 20:53:47
42
charice.prince
Charice21*💖 :
malumbano yote hayo me saa hizi natafuta bao la pili🤣
2026-08-23 07:52:18
24
eliabualick
Eliabu Alick :
tunao tumia WIFI ya kulipia tujuane
2026-08-23 12:38:21
6
altimiluck
altimiluck :
Hay natafuta dada wa kazi wakuishi nae ila kodi tunachanga😁
2026-08-20 13:51:15
7
user2111343411126
J@STIN£....... :
huo wema m sina naichapa kwakweli😂😂😂😂
2026-08-19 06:14:21
235
amina_musa4
aminamusa610 :
tuna tunamia mb zetu tujuwane😁
2026-08-21 14:13:32
8
shsrif83
Sharif :
mpe bhana mabishano ya nn?
2026-08-21 21:18:35
15
zuuh_og0
zuuh_og0 :
Mwanaume Kama huyu anapatikana mkoa gan
2026-08-19 21:49:23
64
lucyalex32
Lucy 🌿❤️ :
fanyeni haraka haraka bando langu linakata😳😳😳
2026-08-19 11:50:49
84
user5472528076008
user5472528076008 :
Mimi ningekuwa mwanaume ningekuwa mhuni Bora nilivyozaliwa mwanamkeeee🤭🤭🤭
2026-08-19 12:26:08
86
khadija.mlowe
khadija :
daah cm yang ina aslimia 1 jaman fanyen halaka
2026-08-20 02:59:38
17
To see more videos from user @mudyblack_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About